Buguruni Police hali si shwari

Buguruni Police hali si shwari

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Nimepita hapo Buguruni this morning hali si shwari baada ya coaster kumgonga na kumuua mama mmoja hapohapo raia wamezingira kituo hebu mliopo huko now mtujuze kinachoendelea..
 
Wewe ndo umeshuhudia tukio alafu unauliza wadau, tukueleweje.
 
Duh!mbona hajali zinazidi kutokea kwa wingi?au ndiyo mwisho wa mwaka?
 
No feedback toka buguruni polisi mazee,ngoja nimcheki mwanangu Kipanya Malapa labda atanijuza
 
Huko buguruni hakuna cha ziada walipiga risasi za juu kutawanya watu story ikaishia hapo huyo driver sijui tena
 
Back
Top Bottom