Madiwani: Nanyaro, Issaya na Issa kuweni makini tafadhali

massai

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Messages
655
Points
0

massai

JF-Expert Member
Joined May 2, 2011
655 0
Hawa madiwani niliowataja wote wapo kwenye eneo ambapo shule ya kata ya Ngarenaro ndiko ilipo.Ni zaidi ya wiki ya pili sasa ukuta wa hiyo shule umeanguka na kuharibu mandhari ya hiyo shule, uzio wa hiyo shule umejengwa muda mfupi uliopita na wala hauna hata mwaka alakini umeanguka tayari. Sasa umakini wa huyo mkandarasi uko wapi?? kama uzio tu umemshinda kuujenga inakuaje anapewa contract ya kujenga jengo la ghorofa?? tafadhali wahusika ni nyie itakuja kutokea maafa alafu mtaanza kujing'atang'ata na kutafuta mbaya wakati itakua ni uzembe wenu wenyewe.Serekali na mkuu wa mkoa tafadhali fuatilieni hilo suala hasa la huo ujenzi wa ghorofa kabla haijaleta maafa.
 

Forum statistics

Threads 1,389,510
Members 527,938
Posts 34,026,889
Top