Watanzania hamuoni kuwa CCM ni Kichekesho?

Emashilla

Emashilla

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Messages
138
Points
0
Emashilla

Emashilla

Senior Member
Joined May 24, 2012
138 0
Nini maoni yako juu ya hali ilivyo ndani ya CCM?

Tafakari yafuatayo:

1. Upo mmomonyoko mkubwa wa maadili;
2. Hakina waadilifu;
3. Imejaa rushwa;
4. Biashara mpya ya kura imeshamiri;
5. Chama cha nyufa, mipasuko, migawanyiko na makundi;
6. Siku za mwisho Upendo umepoa wao kwa wao na nje;
7. Wanadai wenzao(Chadema) wanawapiga madongo;
8. Hawafanyi kazi vizuri kwa umma;
9. "Wenzetu(CHADEMA) wametuzidi maarifa" Mbinu ni kuwaiga wanachofanya
10. Chama cha Mapinduzi kimebomoka sana.
11. Jamii imepoteza imani ingawa wana CCM wanajifanya hawaoni;
12. Kupanga panga safu kumeidhoofisha zaidi;
13. Chama cha Mapinduzi kina mizengwe na upendeleo kwa baadhi ya watu;
14. Viongozi wake hawajali matatizo ya watu kibao;
15. CCM ni kichekesho mbele ya jamii ya watanzania;
16. CCM ni vigumu kushinda 2014/2015 bali kushindwa ni kukubwa sana
17. Misukosuko ya ndani ni mikubwa;
18. Kuna uzembe na ubinafsi;
19. CCM Wanasemwa kila mahali. Sasa ni wakati wa kujibu mapigo;
20. CCM hakina mvuto wala uhalali wa kuongoza nchi ya Tanzania.

Mmoja 'wao' alipaza sauti,akasema; "Je! Tutapona kwa namna hii?"
 
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Messages
1,678
Points
1,195
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2008
1,678 1,195
wasi wasi wangu ni mmoja tuu. Rushwa ndani ya ccm , ni Ishara ya kupata raisi Kibaraka wa nchi za kiarabu. UVCCM uchaguzi wa rishwa! UWA uchaguzi wa Rushwa! Wazazi, UChaguzi wa rushwa! hizi jumuia zitakaa pamoja kumuenzi god father wao ambaye ndiye atakaye wakilisha CCM uchaguzi mkuu 2015! Hapo ni kupata raisi kibaraka wa either IRan, Saudi Arabia au Oman.

mambo kama haya siyo mageni kutokea ndani ya CCM. Mwaka 1995 yalipotokea yalidhaminiwa na serikali ya Iran na waasia wengi sana walijitokeza kugombea ubunge huko mikoani mapka jimbo la kawe lilichukuliwa na muasia. Lakinimwaka huo mzee Nyerere aliokoa taifa kwa kumtaja hadharani kibaraka wa Iran.

Nyerere kaondoka, je TAKURU wana ubavu huo wa kumlipua kibaraka hadharani? Hii rushwa na ukosefu wa maadili, havikuja bure, ni lazima vina ujumbe wa kuwa kuna mtu tayari kashanunuliwa na waarabu na taifa kutawaliwa upya na mataifa ya kiarabu. sasa jiulize, kwa nini wantoa rushwa ili wapite? hizo pesa wamatoa wapi na nani mdhamini wao?

kugombea uchaguzi ni kama kamali. Hivyo hakuna mtu hata mmoja atakubali kutumia pesa zake za mfukoni au kutoka katika biashara zake akitegemea kuwa , kushinda au kushindwa vibaya kupo ktk uchaguzi. watu washawaahidi waarabu kuwauzia ardhi na watafanya juu chini kutumia nafasi ya kushinda ubunge na uraisi ili kutekeleza azma zao.

sisi tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu na azabu ya kifo kwa wahujumu uchumi nchi au wasaliti.
 
Ukweli utajulikana.Lakini huko Kigamboni nako nani kapewa, Waarabu au Wazungu au Wahidi au Waameika?
 
P

PORIKWAPORI

New Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
4
Points
0
P

PORIKWAPORI

New Member
Joined Jun 11, 2012
4 0
mbivu na mbichi zitajulikana kwani Rushwa kwa Chama tawala liko ndani ya ilani yao kwani hakuna wa kumwajibisha nwenzake wengine wanalitukuza na kulifurahia,hakika wakati umefika wa kukata kuwa na watawala wapenda rushwa
 
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,453
Points
2,000
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,453 2,000
21.kimeweka misukule hapa jamii forum kineutralize mapungufu yao,kama unabisha subiri utaisikia sasa hivi
 
H

Hebel Mlagala

Senior Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
134
Points
0
H

Hebel Mlagala

Senior Member
Joined Aug 4, 2012
134 0
Ukiona watu wanatangaza matatizo yao majukwaani ujue sio watendaji. Walianza na magamba wakapita majukwaani kuwa ndani siku 90, waliposhindwa wakasema siku 120, waliposhindwa wakasema magamba hayamhusu mtu mmoja baadae wakasema wanafafanua leo kimyaaaa! Leo wameanza tena miezi 6 na tayari wameanza kuzunguka majukwaani kutangaza kile wasichoweza kukifanya. Kweli CCM hawajifunzi! Kwa watu makini tungeona mambo yakifanyika na sio tambo za jukwaani.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
21.kimeweka misukule hapa jamii forum kineutralize mapungufu yao,kama unabisha subiri utaisikia sasa hivi
TUNTEMEKE
25th November 2012 23:47
#38 Report Post
TUNTEMEKE's Avatar
JF Senior Expert Member

Re: DKT. SLAA ziarani ukaguzi uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

UZURI WA KIKAO CHA LEO PALE MWEMBE YANGA NILIKUWEPO TENA MEZA KUU
BABU ANAFANYA ZIARA YA KUTENGENEZA MTANDAO WA KE WA KICHAMA
BABU ANATENGENEZA UONGOZI WAKE(CHAIN OF COMMAND YAKE)
ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA) ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI:::DAR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA BABU.

ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE AGOMBEE KAWE.
 
M

Mndokanyi

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
629
Points
195
Age
42
M

Mndokanyi

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
629 195
Majungu,umetumwa na CCM,kafie mbali.
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,516
Points
2,000
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,516 2,000
TUNTEMEKE
25th November 2012 23:47
#38 Report Post
TUNTEMEKE's Avatar
JF Senior Expert Member

Re: DKT. SLAA ziarani ukaguzi uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

UZURI WA KIKAO CHA LEO PALE MWEMBE YANGA NILIKUWEPO TENA MEZA KUU
BABU ANAFANYA ZIARA YA KUTENGENEZA MTANDAO WA KE WA KICHAMA
BABU ANATENGENEZA UONGOZI WAKE(CHAIN OF COMMAND YAKE)
ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA) ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI:::DAR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA BABU.

ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE AGOMBEE KAWE.
Inabidi tutafute mabunzi ya kukuna na nini hii yako kali sana ,unajitekenya na kujichekesha mwenyewe ,nani ambaye atanunua upuuzi huu mwaka mzima umeandika mambo ya huyu babu na Josephina lakini lichama lenu munashindwa kumuondoa huyo Kibabu aliyekongoroka,kama hana maana mbona bado anatanua
nyie ndio huwa minachomwa majiti kwenye naniii kwa sababu ya umbea chuki binafsi huna unaloliweza,nadhani mwanzo mpaka sasa ulidhani ungeweza kubomoa pale juu ukashindwa mbona husemi upande wa pili yaani hao wanachama wao ni misukule hawawezi kuwa na maamuzi mpaka kibabu ndio aelezzee wao wafuate sio dunia ya leo hayo mambo yatakuwepo labda huko CCM unakohongwa hela ili ujitekenye
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Gamba utamshauri nani eti chini ya mpapai kuna kivuli
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Ukiitetea ccm kweli una roho ngumu osama weka pembeni
 
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
2,331
Points
2,000
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
2,331 2,000
Azimio la zanzibar ndio linalowatafuna magamba.
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
TUNTEMEKE
25th November 2012 23:47
#38 Report Post
TUNTEMEKE's Avatar
JF Senior Expert Member

Re: DKT. SLAA ziarani ukaguzi uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

UZURI WA KIKAO CHA LEO PALE MWEMBE YANGA NILIKUWEPO TENA MEZA KUU
BABU ANAFANYA ZIARA YA KUTENGENEZA MTANDAO WA KE WA KICHAMA
BABU ANATENGENEZA UONGOZI WAKE(CHAIN OF COMMAND YAKE)
ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA) ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI:::DAR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA BABU.

ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE AGOMBEE KAWE.
Ugonjwa wako unaitwa chademaphobia Na sasa umeingia kichwani na kukusababishia Slaaphobia.

This disease has a very poor prognosis and if untreated you will be dead by 2015 (ie 3 years after diagnosis)
 
UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Messages
602
Points
0
UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2012
602 0
TUNTEMEKE
25th November 2012 23:47
#38
Report Post
TUNTEMEKE's Avatar
JF Senior Expert Member

Re: DKT. SLAA ziarani ukaguzi uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

UZURI WA KIKAO CHA LEO PALE MWEMBE YANGA NILIKUWEPO TENA MEZA KUU
BABU ANAFANYA ZIARA YA KUTENGENEZA MTANDAO WA KE WA KICHAMA
BABU ANATENGENEZA UONGOZI WAKE(CHAIN OF COMMAND YAKE)
ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO
UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA
HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE
ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA)
ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI:::DAR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO
ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA
BABU.

ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO
YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI
SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI
WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA
YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE
BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU
KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo
jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO
DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE
AGOMBEE KAWE.
Hii inaweza kuwa ukweli na si propagander. Ni vema ikafuatiliwa ili ukweli ujulikgne
 
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,218
Points
1,250
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,218 1,250
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.
wameanza. Wana dhambi sana! Hivi anaongea hadi kulia, hayaoni mapungufu ya ccm? Wana dhambi sana hawa
 
K

Kichuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
320
Points
0
K

Kichuli

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
320 0
Ccm ccm eee chama chama mapinduzi ccm chawatesa hata slaa anajua ccm ni kiboko chake mtaishia kusema lakini mwisho wa siko ooo tumeibiwa kura subiri 2015 mtakosa pa kujificha maake mtaöna aibu ya mwaka na huyo babu yenu,
 
Emashilla

Emashilla

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Messages
138
Points
0
Emashilla

Emashilla

Senior Member
Joined May 24, 2012
138 0
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.
CCM wanaweza kumuhurumia wakampa kitengo cha kuwahudumia waheshimiwa katika mikutano. Ana njaa sana. Tena mwanamke huyu hajui hatima yake huko ndio maana analia kama mbwa anayejipeleka kwenye mdomo wa chatu.

Kweli ni heri giza la nje kuliko mwanga wa gerezani
 
Forum statistics

Threads 1,294,399
Members 497,915
Posts 31,174,714
Top