Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Baraa hili la umeme ni janga lisilo epukika kwa hali sasa jinsi ilivyo, kwenye gazeti la Mwana Halisi ukurasa wa pili linasema "Nchi kuingia gizani"!!!!!!! Bila shaka mpenzi msomaji hapa unaishi Tanzania, hata kama unaishi nje ya nchi unainterest na hii nchi yetu ya Tanzania na unaitakia mazuri!!!!!!!!! Kuna ukweli usiopingika kuwa janga hili la umeme ni halisi, kwa gharama za umeme kupanda hadi watu na viwanda kushindwa kukabili hizo gharama na nchi kufilisika!!!!
Sioni mkakati wowote wa serikali kujikomboa na hii minyororo ya gharama za umeme ilizojiingiza kwa mikataba ya ajabu ajabu ambayo inazidi kutafuna uchumi wa taifa letu!!!!!!!!! Kuwalipa IPTL,SYMBION POWER ( Kumbe malipo ya Tshs 156million daily bado yapo palepale, kilicho badilika ni ownership faked) AGRECO, SONGASS wote hao wanakomba mabilion kila mwezi toka hazina ya nchi maskini ya Tanzania!!!!!!!!!!!!
Migodi yoote ya dhahabu,tanzanite,etc wanatumia umeme lakini kwa mikataba mibovu hawalipi kodi serikalini!!!!!!!!!! Je kwa mwendo huu nchi yetu si itafikia mahali hasa karibuni itafilisika na kushindwa kujiendesha kwa kubeba majukumu inayostahili kubeba??????????? Hapa hakuna cha nani wala nini wote tuko humu humu sasa tufanyeje, tukubali kuzama na hili jahazi, kwa kadili linavyo vuja bila kuzibwa kwa maana litazama??????????
Nawasilisha bado nina mawazo mbadala tutayajadili!!!!!!!!!!