Jitihada za Mbunge wa Gairo Mh.A M Shabiby kuhusu mradi wa Maji jimboni.


Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
573
Points
500
Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
573 500
[h=5]HATIMAYE MRADI WA MAJI WILAYANI GAIRO U MBIONI KUKAMILIKA: Pamoja na kuchelewa lakini hivi sasa mradi wa Maji ulionzishwa wilayani Gairo Uliodhaminwa na World Bank unakaribia kukamilika.Mbunge wa Jimbo la Gairo Mh.Ahmed M Shabiby amekuwa akilifatilia swala hilo kwa ukaribu na hata kuulizia Bungeni kwamba ni nini hatma ya Mradi wa Maji Wilayani Gairo.Mpaka kufikia hivi sasa Visima 7 vimekishakuchimbwa na kati ya hivyo visima 4 vinatoa jumla ya Lita Elfu 25 kwa saa(25,000litres/h),visima 2 vinatoa lita Elfu 15 kwa saa(15,000litres/h) na kisima 1 kinatoa Lita Elfu 18,000 kwa saa(18,000litres/h) Hivyo kufanya jumla ya Lita Takribani Elfu 58,000 kwa saa.Kinachoendelea sasa ni uunganishaji wa Bomba mbalimbali kwenye Chambers ili kupeleka Maji katika Tenki kubwa tayari kwa usambazaji kwa Wananchi.Pongezi Kwa Mh.A M Shabiby na na wadau Wengine wote wanaoendelea kusaidia ufanikishaji wa Mradi Huu.Pindi mradi huu utakapokamilika tatizo la maji kwa wananchi wa Gairo litabaki kuwa Historia.Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki Gairo.[/h]
 

Forum statistics

Threads 1,295,163
Members 498,180
Posts 31,201,964
Top