Worried

Noor

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
146
Points
225

Noor

Senior Member
Joined Feb 5, 2012
146 225
Timu ya Sun'land ya Wingereza katika jezi waliyovaa usiku wa jana ilikua na maandishi yasemayo "Invest in Africa" je maneno hayo kweli ni ya kuhamasisha uwekezaji barani kwetu au ni kuhamasisha kuja nchi za kiafrika kukomba rasilimali zetu?
 

Forum statistics

Threads 1,390,629
Members 528,220
Posts 34,056,932
Top