Ndugu zangu, hivi karibuni Bw Mapachu alizindua kitabu kiitwacho "CHALLENGING THE FRONTIERS OF AFRICAN INTERGRATION". Nauliza, kinapatikana maduka gani? Mwenye ufahamu atujulishe ninakitafuta sana.