Kupima ukimwi?

Amani Mrimbo

Member
Nov 23, 2010
64
0
Dr KIKWETE KAMA HUWEZI KUDHIBITI AJALI BARABARANI USIWAAMBIE WATU KUPIMA AU KUEPUKA MAAMBUKIZI mapya!
AJALI NDO dirisha KUU LA MAAMBUKIZI KWA SASA ! HAPO VIPI!
 

Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,346
2,000
huyo Kikwete adhibiti ajali kwani ye' ni dreva au trafki? mnaambiwa msiendeshe huku mmelewa, msiendeshe mwendokasi na mfuate sheria muwapo barabaran yote hayo kwenu hakuna mnalozingatia halafu mnamlaumu Kikwete! ovyoooo! Nenda kapime uijuwe afya yako.
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
Sasa kikwete anahusika vipi na hiyo mibio yako ya ajabu ajabu barabarani??

Unaendesha mwenyewe bila uangalifu then ukipata ajali lawama umpe jeikei??mengine tumuachie apumuwee
 

Wayne

JF-Expert Member
May 27, 2009
661
195
huyo Kikwete adhibiti ajali kwani ye' ni dreva au trafki? mnaambiwa msiendeshe huku mmelewa, msiendeshe mwendokasi na mfuate sheria muwapo barabaran yote hayo kwenu hakuna mnalozingatia halafu mnamlaumu Kikwete! ovyoooo! Nenda kapime uijuwe afya yako.

Kwa matatizo mbalimbali kama ukosefu wa madawati na upungufu wa walimu mashuleni....jiulize..... je?, kikwete ndiye fundi selemala .....au ameajiri nowdays kama mkufunzi katika moja ya vyuo vya ualimu...?...REJEA SWALI LAKO....

Kwa taarifa..ongezeko la ajali za mara kwa mara,chanzo kikubwa ni barabara zetu.

Barabara zetu ni nyembamba mno...mfano unatembea umbali mrefu pasipo kukutana na service road...yote hayo ni masuala ya kisera na pamoja na kuangalia sheria yetu ya barabara inasemaje, kuhusu upana wa barabara na mambo mengine yanayohusu barabara.

Tumeshuhudia, ajali nyingi chanzo chake ni malori yaliyoharibika njiani au magari kupishana kwa taabu hivyo kupelekea ajali hizo kutokea.

Kama tungekuwa na barabara zenye upana wa kutosha, lori linapoharibika linaweza kutoka nje ya barabara na kusimama kwenye service road...jiulize ajali ngapi zingepungua

Mambo kama hayo ya ku-review sheria ya barabara na sera yake, yapo kwenye strategic level....siyo ya madereva.
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000
..., madereva wengi wana driving licence fake. Kwasababu ya vishoka wa TRA. Kwahiyo JK na serikali yake dhaifu wanahusika moja kwa moja...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom