mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 758
EWURA mko wapi? Mkoa wa Singida hakuna nishati ya mafuta ya taa,n swali hili kwa wakazi wa Singida halina majibu. Kila unapoenda kwenye kituo cha mafuta ya nishati utapata diesel na petrol, mafuta ya taa hakuna. Tukumbuke watumiaji wa mafuta ya taa hawana wa kuwatetea, si unajua tena hawana magari, nchi hii wenye magari ndiyo wanaosikilizwa zaidi tena kwa haraka. Nasi akina pangu pakavu tafadhali tia mchuzi, tunaomba mtusikilize, chemli hazina mafuta ya taa
kwa hapa singida bei ya mafuta ya taa kwa sasa ni kubwa kuliko diesel na petrol, Leo hii nimeuziwa lita moja kwa sh.4000 tena kwa njia ya panya, kwenye vituo vya mafuta hayapo. Swali langu kwa wahusika Je, mafuta ya taa hayapo ghalani kama yapo kwanini wananchi wa Singida tunapata taaaaaaabu namna hiii, ninapopost ujumbe huu Diesel na petrol ipo ya kumwaga, mafuta ya taa hakuna. Mimi nilitaraji EWURA na usalama wa taifa (maana well being ya WATZ ndiyo kazi yao kubwa, sasa wanafanya nini tunaumia, why not step in guys?) watakuwa wameliona hili, na kulipatia ufumbuzi lakini wapi!!!!!!!!!!!
Hebu wahusika najua mpo humu JF, mnatuambia nini sisi wakazi wa Mkoa wa Singida maana tunaumia, mnataka koroboi zetu tuweke nini? yaani mnataka turudi kwenye vijinga vya moto kumlikia aaaaaaaaaaaaaaaah!! jamani.
EWURA tupeni majibu pamoja na usalama wa taifa tusaidieni wananchi tunaumia