Dr Ulimboka Jamani ANAITAJI MSAADA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,276
1,195
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo

Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu

Inawezekana bado ana maumivu makubwa

Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari wenzake wamemtelekeza
na inawezekana msongo wa mawazo unamfanya adhoofike

Mytake:

Inakuwaje wale waliomsindikiza hawamsadii?

Ndahani

JF-Expert Member
Jun 3, 2008
16,990
2,000
Umemuona kachoka na kaishiwa nguvu? Kwa macho yako au kwa uhalisia wa mambo kwamba ameishiwa nguvu?Maana inawezekana unasema yale unayotaka kuyaona kama hujatuletea evidence....
 
taffu69

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,087
1,195
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo

Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu

Inawezekana bado ana maumivu makubwa

Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari wenzake wamemtelekeza
na inawezekana msongo wa mawazo unamfanya adhoofika

Isije ikawa wewe ni Ing'ondu unataka kujua issue ilivyokaa tangu akutaje hadharani kuwa wewe ndiye mtesaji no. 1
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,501
2,000
Na bado hadi aokote makopo mwaka huu, laana ya damu za watu. Huu ni ujumbe wa Mungu kwa wote mnaodhani maisha ya mwanadamu ni ngazi ya kujipatia umaarufu.
 
Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,588
1,500
Kwanini wasikae kimya kama mtu mwenyewe haeleweki? watu walirisk maisha yao nafamilia zao kushughulia afya yake irudi kuwa sawa wakitegemea akipona ataweka kila kitu hadharani...badala yake amefanya nini?
 
sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,834
0
Yule nimsaliti mkubwa sanaa,mwanahalisi limefungiwa kwa sababu yake,ilifikia waandish wakienda kwake wanafukuzwa na dada zake kua huko huko hatuhitaji waandish,kumbe selikali ilimuahid mapesa mengi akakubal kusalit uma sasa wamemrusha anajirudisha wakat inshu ilisha kua mavi yakale.apeleke usaliti wake hukooo kasababisha madactar wengine wakafunguliwa kesi yaan watu tuliomba dua apone aje atupe mkasa mzima matokeo yake siku alipokua anarud akawa kimyaaa.ikapelekea wana harakat kukata tamaa maana hakuwapa ushirikiano.naninadhan mpaka tigo wali....nilikerwa sana na ukimya wake atajiju hii ndio Tz.wasaliti wataumbuka tu
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,261
2,000
Anahitaji msaada wa naman gani? sheria, saikolojia, fedha???
 
Chona

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
519
500
Yule nimsaliti mkubwa sanaa,mwanahalisi limefungiwa kwa sababu yake,ilifikia waandish wakienda kwake wanafukuzwa na dada zake kua huko huko hatuhitaji waandish,kumbe selikali ilimuahid mapesa mengi akakubal kusalit uma sasa wamemrusha anajirudisha wakat inshu ilisha kua mavi yakale.apeleke usaliti wake hukooo kasababisha madactar wengine wakafunguliwa kesi yaan watu tuliomba dua apone aje atupe mkasa mzima matokeo yake siku alipokua anarud akawa kimyaaa.ikapelekea wana harakat kukata tamaa maana hakuwapa ushirikiano.naninadhan mpaka tigo wali....nilikerwa sana na ukimya wake atajiju hii ndio Tz.wasaliti wataumbuka tu

Sitaji niamini unachotaka kuniaminisha kuwa wewe ......!!
Nijibu haya maswali yangu tu ndipo nitajua wewe ni nani
1. Unajua kwanini Mwanahalisi lilifungiwa?
2. Je ulisikia tamko lake la mwisho alilolitoa kupitia kwa wanasheria wake kina Dr Nshala?
3. Ulifanyiaje kazi taarifa ulizozipata toka kwake na toka kwa gazeti la mwanahalisi?
4. Ulihitaji nini zaidi toka kwake ili uweze kufanyia kazi?
5. Nani msaliti kati yake na wewe uliyelidhika kuzulumiwa haki yako kama mwananchi ya kupata
huduma bora bila kujali uwezo wako kiuchumi?

Sio lazima kuchangia kwenye kila thread unayoisoma hata kama hujui nini kiliendelea. Matokeo yake ni kujukosesha heshima mbele ya jamii hata kama hatukufahamu kwasababu ya fake ID. Heshima ni kitu cha bure.
 
Oct 18, 2012
87
70
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo

Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu

Inawezekana bado ana maumivu makubwa

Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari wenzake wamemtelekeza
na inawezekana msongo wa mawazo unamfanya adhoofike

Mytake:

Inakuwaje wale waliomsindikiza hawamsadii?

just five issues

kwanza...huko kazini kwenu na huyo rama ighondu...huwa mnatoka saa ngapi?

pili....umeanza kazi lini?

tatu...unataka kujua ulimboka alipo ili ufanye nini?

nne...wewe mkiwa kazini huwa mnamuota ulimboka na chadema tu?

tano...mikakati yenu sasa hivi ni ipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom