Marehem Mzee Punch wa UDSM

M.L.

Senior Member
Feb 11, 2012
185
119
Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na viongozi wake, kuadilisha mienendo ya ya wasomi pale chuoni.

Serikali ya awamu ya pili ilikosolewa sana na mzee Punch na ni kipindi hicho mzee Punch akayoyomea.

Je, zama hizi za uwazi huu na mmomonyoko wa maadili vyuoni sio wakati mahususi wa kufufuka kwa mzee Punch?
 
Nani anajali siku hizi eti kuvunja maadilii.
Siku hizi bwana mtu unataka utoke kwenye media, si ndio utapanda chati?
Nani atakujua kama hutangazwi tangazwi kwa mapicha nk
:smile:
 
Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na viongozi wake, kuadilisha mienendo ya ya wasomi pale chuoni.

Serikali ya awamu ya pili ilikosolewa sana na mzee Punch na ni kipindi hicho mzee Punch akayoyomea.

Je, zama hizi za uwazi huu na mmomonyoko wa maadili vyuoni sio wakati mahususi wa kufufuka kwa mzee Punch?

Maadili? watu wale wapi. Watu wanataka maisha ya ufahari vyuoni wasipokaa uchi watajiuzaje! Lazima umshawishi mtu kuwa una mali safi
 
Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na viongozi wake, kuadilisha mienendo ya ya wasomi pale chuoni.

Serikali ya awamu ya pili ilikosolewa sana na mzee Punch na ni kipindi hicho mzee Punch akayoyomea.

Je, zama hizi za uwazi huu na mmomonyoko wa maadili vyuoni sio wakati mahususi wa kufufuka kwa mzee Punch?
Kama upo chuoni hapo UDS, na ni mwanafunzi, bado kuendeleza uhai wa Mzee Punch upo mikononi mwako.
 
Mzee PUNCH alipigwa VITA na kufa kwa kilichodaiwa kwamba alimtukana Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi "Matusi ya nguoni"
 
Hata ze utamu aliuawa kwa matusi ya nguoni. Heshimu mamlaka hata kama hutaki!
 
the om mzee punch and ten comandments

do not vibrate your 'burimasa' in front of mzee punch
 
huyu mzee punch aliuawa??walimfanya nini??na walikuja kumjuaje au ndo mambo ya kusalitiana udsm kama bush
 
Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na viongozi wake, kuadilisha mienendo ya ya wasomi pale chuoni.

Serikali ya awamu ya pili ilikosolewa sana na mzee Punch na ni kipindi hicho mzee Punch akayoyomea.

Je, zama hizi za uwazi huu na mmomonyoko wa maadili vyuoni sio wakati mahususi wa kufufuka kwa mzee Punch?

Mzee punch hakuyoyomea enzi za awamu ya pili bali aliyoyomea enzi za Mkapa. Nimefika pale mwaka 1995 nilimkuta mzee punch na aliwahi hata kumtukana mzee Mkapa.
 
Nafikiri alitoweka 1996, mara ya mwisho niliona bandiko lake mwaka huo maeneo ya rev' square. Ila alikuwa/walikuwa wataalamu!
 
Mzee Punch make himself irrelevant when he stooped so low that he started being very vulgar in his approach and victimised innocent students. The Literature Wall started being littered not with humorous and satirical materials but with insults and disgusting pornography. Mzee Punch's demise was inevitable.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom