Rais hana uwezo wa kumfukuza kazi kiongozi wa zimamoto DSM?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,410
58,094
kuna moto umetokea dms jana. Jamaa wa zimamoto wakachelewa kufika wamechelewa sana.. Huyu kiongozi wa dsm anahojiwa redion anadai eti walivyofika walianza kwanza kuuliza kuwa moto umetokana na nini.. So wakakosa ushirikiano mwenye nyumba hakutokelezea kuwapa ushirikiano( can you imagine kama mwenye nyumba yupo ndani anaungua .WTF?)

Hivi kweli rais umekaa ofisini unaendelea kuwavumilia watumishi kama hawa hata kama shirika limebinafishwa au vipi ila mambo kama haya ni ya kijinga sana
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,872
4,530
Naona huyu mkuu wa zimamoto Dar ni bora kuliko rais mwenyewe. Sijui hapa nani anastahili kumfukuza nani? Kama rais hajui chanzo cha umaskini kwanini zimamoto nao wasijitahidi kujua chanzo cha moto? Huenda wakijua chanzo cha moto watakiamrisha kiuzime.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,410
58,094
Naona huyu mkuu wa zimamoto Dar ni bora kuliko rais mwenyewe. Sijui hapa nani anastahili kumfukuza nani? Kama rais hajui chanzo cha umaskini kwanini zimamoto nao wasijitahidi kujua chanzo cha moto? Huenda wakijua chanzo cha moto watakiamrisha kiuzime.

Kama wewe ni mtanzania na ulimpigia kura JK ndio maana anakuongoza, na huyu zimzmoto sijui kapatikanaje.. Sasa hapa sijui tukueleweje tunaposema hivyo. JK sio kwamba hajui chanzo cha umaskini ... Anajua sana sema lugha ya kikolono ndio tatizo. Nenda kamuulize kwa kiswahili kama hatakujibu essay nzima. So dont ignore my point.

Hahaa but hapo mwishoni umenichekesha.. So wao wanataka chanzo ili kiuzine... D: only in TZ
 
July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,239
787
Naona huyu mkuu wa zimamoto Dar ni bora kuliko rais mwenyewe. Sijui hapa nani anastahili kumfukuza nani? Kama rais hajui chanzo cha umaskini kwanini zimamoto nao wasijitahidi kujua chanzo cha moto? Huenda wakijua chanzo cha moto watakiamrisha kiuzime.

kweli maana moto una madaraja...kuna class A,B,C na n.k na yote yanazimwa kitofauti......
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,386
Saint Ivuga,

Kuna msemo wa "like father like son"....vumilia japo kwa miaka 3 zaidi.

2015 watanzania tutakuwa na adabu tukisimama mbele ya box la kura
 
Last edited by a moderator:

Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
1,012
Naona huyu mkuu wa zimamoto Dar ni bora kuliko rais mwenyewe. Sijui hapa nani anastahili kumfukuza nani? Kama rais hajui chanzo cha umaskini kwanini zimamoto nao wasijitahidi kujua chanzo cha moto? Huenda wakijua chanzo cha moto watakiamrisha kiuzime.

Ma Rais wako waliojua chanzo cha Umaskini mbona wameng'atuka nchi ikiwa haina hata sembe, hupati huduma dukani mpaka upate kadi ya mjumbe aidhinishe idadi ya wana kaya? Hiyo elimu ya kujua chanzo cha umaskini iliwasaidiaje wa Tz?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom