Mitambo ya simu za mkononi zinaingiliana

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
596
Kuanzia jana ukipiga zain,inaita voda nyingine,ukipiga voda mara unashitukia imeita zain ya mtu tofauti,tatizo ili ni tangu jana.
 
kwangu mimi hakuna tatizo kama hilo, labda tuwasubiri wadau wengine nao waje watujuze!
 
Back
Top Bottom