Wingi wa makampuni ya kenya kuingia nchini kinyemela na kufanya tafiti za kimasoko.

Oct 5, 2012
29
1
Kuna kampuni nyingi za kenya zinatuma wawakilishi wao wanakuja nchini kwa miezi 3 kufanya tafiti za kimasoko bila vibali...
Kisha wanapeleka data kwao... Ni kweli vijana wanapata faida kwa kuajiriwa kwa muda ila ni hasara kubwa kwa taifa letu..
Uchumi unadumaa viwanda vinakosa soko la ndani na nje...
Ajira zinashuka,sasa tuwe makini wao wanaweza kuja na kufanya kazi bila ofisi bila vibali na kuondoka salama na kuja salama...
Makampuni yote ya kitanzania mnaowapatia kazi hao watu mjifunze na muwe makini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom