Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote mwenye namba ya simu ya meneja wa mwanamuziki Dogo Aslay au ya dogo mwenyewe anipatie either kwa kuniPM au kwa sms 0755737737
nina mchongo mzuri nataka...
"DIAMOND YA FOREVER" ndio jina la show babukubwa inayo andaliwa na msanii wa bongo fleva Diamond platinum,itakayofanyika Mlimani city hiv karibuni kwa kiingilio cha Tsh 50,000.Ni hatua kubwa sana...
Hellow wana JF...
Leo nipo upande wa an actress Anjeline Jolie wa Holly Wood of whom I love too.
Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza
nafasi yoyote ile...
Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote...
.........UPDATES..........
Hatimaye Rado anauwawa na Prosephina,Aireen nae anatupwa toka juu ya
gorofa na kufariki,anabaki Hommer na Prosephina.
Prosephina anafanikiwa kumpata mama yake...
Naona mzuka kwa watu unaongezeka
kuhusu hizi filam za bongo.....kwenye media na watu..
Sasa mimi najiuliza.kwa nini nashindwa kuzipenda hizi
filam za bongo????
Yaani nashindwa hata kutazama...
Hii ni movie ambayo niliikubali tangu enzi hizo mpaka leo huwa naiangalia sana.
Sehemu nazopenda sana ni pale captain alivyoingia line kwa maria na ugumu wake wote.nyingine pale maria...
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!
eg..Last Kings Tyga Snapback
ymcmb snapback
MMG
Habari zenu wadau.Kwa muda wa takribani wiki 3 sasa nimekuwa siioni filaamu hii katika chaneli ya tbc saa kumi na mbili jioni kama ilivyokuwa zamani.Hivyo naomba yoyote anayyefahamu wakati filamu...
me ni mdau wa filamu za kibongo lakini na choshwa kusikia chuki na visa vya awa wawili katika tasnia ya filamu, kwani wamekuwa na ugomvi na malumbano yasiyo natija sijui ni wivu wa mafanikio au...
Hallo wanaJF,
Hakuna atakayepinga kuwa kwa miaka ya karibuni bendi ya Twanga Pepeta chini ya ASET imekuwa ikifanya vyema kiasi cha kuzifunika bendi zilizojaza wakongo kama FM Academia na...
Wakuu habari za hapa jamvini, natafuta Movies za hollywood 2011 kwa mwenye nazo naomba anijulishe nitamlipa kwa kadri tutakavyoelewana. Namba yangu za simu ni 0755 737 737
1. 5 Days of...
Saturday, March 10, 2012*NAPE NNAUYE ASAKA NAMBA JUKWAA LA TWANGA, AMUACHA HOI ASHA BARAKA KWA KUIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYOTE
Hapa Nape akipiga gitaa la Solo. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM...