Maoni yenu juu ya wimbo mpya wa hussein machozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni yenu juu ya wimbo mpya wa hussein machozi

Discussion in 'Entertainment' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Dec 26, 2011.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  "Ukiwa kama mdau mkuu wa kazi za Hussein Machozi Nakuomba usikilize wimbo huu na utoe maoni yako kwa usahihi ..kwa kufanya hivo utakua umemsaidia Hussein Machozi katika krekebisha alicho kikosea....wimbo huu upo hewani kwa sasa..."

  http://hulkshare.com/rej2e9ezpuj6
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I LIKE it!!
  The story is well thought through and the music is good. Yani kwa maana nyingine naweza kuuplay tena, na nikiusikia sehemu sitotamani mtu abadili station/wimbo.
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Mwanamuziki huyu anataka kuonyesha jinsi maisha yalivyokwenda juu kwa muda aliokuwa jela. Anatoa mifano michache sana ya gharama za maisha. Bei ya kipande cha sabuni anaitumia kupima bei ya vitu vingine; unga nk. Ataje kabisa vitu na bei zake.
  Muziki (melody) ni nzuri, unaingia kichwani.Utatoka lini?
   
Loading...