huu wimbo umepigwa na nani?

huu wimbo umepigwa na nani?

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
wakuu naomba msaada juu ya wimbo huu. Samahani nitauandika pengine ndivyo sivyo.
Unasema hivi hivi,
'wazazi, wazazi nakonda na mawazo yenu ya kila siku
mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo
miaka kumi na nne........................
CHORUS
Samahani samahani samahani baba na mama, sitaweza kuolewa...............
............
Kama unamjua aliyeupiga nitajie, si vibaya pia kama utanirushia
 
yap. ni zilipendwa a.k.a bakurutu
 
Back
Top Bottom