Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,951
Mywaji wa kawaida anaweza kuywa avarage ya bia 6 kila siku.( jumlisha zoote hadi za harusini na misherehe mingine ) Hii ina maana anakunywa litre 3 kila siku. Hizi ni swa na litre 90 kwa mwezi ambazo ni sawa na litre 1,080. Kwa mwaka . Unafahamu simtank la litre 1000? maana yake ndio hiyo. Na kama ni smoker kama mimi one pkt per day @ 3000/= times 30 days = 90,000/= per month . It is just a 1,080,000.00 shilings per annum.
So, 1,080 litres @ 3,600/= 3,888,000 per annum
plus fegi 1,080,000 per annum and the total is Tanzania Shillings 4,968,000 say 5,000,000.00
Remeber this is only person. No wife or kid or any other expenses have been considered. Habari ndio hiyo kwa wanywaji na wavutaji kama mie . 5M zinakuhusu bila chenga hata kidogo.