Kwaito msaada

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wana jf
kherini ya kristmass na boxing day.
Nina shida kama kuna mtu mwenye link ya nyimbo flani hivi ya kwaito,kwa hapa bongo tunapenda kucheza kwa kujipanga pamoja,kwa kifupi sijui wimbo unaitwaje,naomba mwenye link au wimbo unaitwaje.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Kwaito ni style ya nyimbo za south africa sio nyimbo moja n mara nyingi zinapigwa kwa collection ya nyimbo kibaaaao....Subiri mtu ataeweza kukupatia link..atakuwepo tu.
 
poa mkuu
 
Tangu lini Preta ukaimba?...Hakyanani .Ukifanya show andaa hela za kuwarudishia watu.

Bi Kidude ana miaka zaidi ya 100 nae bado anaimba na watu wanalipa kiingilio, sasa huyu Preta mwenye miaka 67 atashindwa nini?
 
Kijana tafuta Jina la wimbo unaoupenda, mimi sio mpenzi sana wa Kwaito, ila naweza kukusaidia kama unajina la huo wimbo nina collection kibao za Nyimbo za South Africa mpya na zamani. Ila mimi ni mpenzi wa House Music ya South Africa. Pata jina ni pm nitakutumia Kijana
 
jamani preta anawezekana akawa na umri huo jamani? Kwa mtazamo wangu nafikiri labda ana miaka below 30.
 
Kijana tafuta Jina la wimbo unaoupenda, mimi sio mpenzi sana wa Kwaito, ila naweza kukusaidia kama unajina la huo wimbo nina collection kibao za Nyimbo za South Africa mpya na zamani. Ila mimi ni mpenzi wa House Music ya South Africa. Pata jina ni pm nitakutumia Kijana
Kumbe tuko wengi nawakubali sana jamaa kwenye upande wa house wanajitahidi sana nina collection za kutosha za house
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom