Bwana shamba had a farm..ia...ia..ooh...By Adam mchomvu

Kwahiyo nyimbo za chekechea siku hizi zinaingizwa studio? Kaaazi kweli kweli.
 
Kwahiyo nyimbo za chekechea siku hizi zinaingizwa studio? Kaaazi kweli kweli.Wasanii wa kibongo hawana creativity das y hawadumu kwny game ila tnx broda umenkumbusha enzi za mabata madogomadogo
 
Kwahiyo nyimbo za chekechea siku hizi zinaingizwa studio? Kaaazi kweli kweli.Wasanii wa kibongo hawana creativity das y hawadumu kwny game ila much tnx 2 hm cz amenkumbusha enzi za mabata madogomadogo
 
Ila mi nadhan Adam mchomvu anatoa single zake kama sehemu ya interests sio kama biashara...maana ile ya kwanza nayo ' Joni! Joni! yes papa...'...anataka tu kufurahisha watu. Hizo single nazisikia clouds fm tu...sijazisikia radio zingine.
 
so true! Zina sikika clouds tu! Halafu suprisingly zinapata popularity sana...
 
adam micfa tu imemfunga pingu.kinachomfanya aimbe upupu ni mademu ashajua bongo ukiwa msanii kungoa watoto haina gharama dats y analazmisha kufanya asichokijua.
 
yaani hapa tanzania kuna watu kazi yao ni kudharau mambo ya wenzao ...mtakufa na wivu wa kijinga big up mchovu.
 
Back
Top Bottom