Vijana wenzangu wa zamani-Kumbuka huu wimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wenzangu wa zamani-Kumbuka huu wimbo

Discussion in 'Entertainment' started by engmtolera, Dec 24, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hii nyimbo ni mahususi kwa vijana wezangu wa zamani,kiukweli tulifaidi enzi hizo

  Nyimbo ni hii hapa

  Niwewe mpenzi duniani ee, mwenye mwendo wa malingo na hatua za hesabu.

  Nifanye nini duniani eee,ujue nakupenda wala kamwe sitakwacha.

  Nangoja nini duniani eee,bila kuwa na wewe mwenye shingo ya upangax2


  Fahari yako nakusifu eee kwa sura yako safi mwenye shingo ya upanga.

  oooooo ninayo ya muhimu dada ooo njooo nikweleze ee mwenzangu ooo


  kiitikio
  Nateseka kungoja fanya uje kwa haraka ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga.

  mwimbaji
  Mwenye mwendo wa malingooo hatua za hesabu tabia ya pekee mwenye shingo ya upanga

  kiitikio
  Nateseka kungoja fanya uje kwa haraka ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga.

  mwimbaji
  sinta kwachaa,sinta kwachaaa,sinta kwachaaa,sinta kwachaaa ooo

  kiitikio
  Nateseka kungoja fanya uje kwa haraka ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga.
  mwisho

  hapo sasa ni ngoma kwenda mbele,Makuti oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,masika toleranga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  nakumbuka mbari sana hususani ktk siku hizi sa sikukuu,kipindi hicho ngoma zinapigwa live(mzee bonzo-huyu bado yupo morogoro-chamwino mpiga gitaa)

  maisha yalikuwa magumu lakini hatuku yafikiria saaana
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Wingi na Umoja,sikumbuki hivi ni darasa la kwanza au la tatu?
   
 3. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ebwana eee, Jamhuri Jazz hiyo. Kama unao baba weka hapa tudaunlodi mbona unanikumbusha mazao wakati mwenzio niko jangwani
   
 4. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ndo ring tone hapa kwangu! Ngoja niingie kwenye laptop 4 u all. Nadhani itakuwa zawadi bomba ya xmas wakuu
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  waeleze mkuu. Nami nilitaka kukomelea hapo. Umande hatari sana
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  pole sana mkuu,lakini hii ni moja ya kukufanya uhairishe kidogo maumivu ya jangwani-mafuriko

  wimbo ninao na nitauweka hapa,nashindwa jinsi ya kuuweka
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kiswahili kigumu sana( sija sema HIZI NYIMBO-nimesema hii nyimbo)-huwezi sema hii wimbo-unasema huu wimbo) mliko lala mimi ndiko niliko amkia jamani
   
 8. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu ni mmoja wa nyimbo nizipendazo sana. Thanks Eng.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Eng chutama tu,suruali ishakuvuka ukijaribu kusimama unazidi kujiaibisha,hayo maneno yako yaweke kwa kingeleza,hivi tunasema this songs au this song? Pitia tena umoja na wingi mwambie hata mdogo wako wa darasa la tatu akupe pindi kidogo
   
Loading...