Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hello! JF Kwa wale wakazi na wafanyabiashara wa MWANZA. Naweza pata wapi Movie mpya za mbele. Siyo katika collection yaani 24 in 1. But kama Single kwa Bei ya Jumla ama Rejareja Maana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natizama TBC 1 leo tarehe 10.03.2012 jumamosi asuhbuhi ambapo kuna mwanamziki chipukizi wa maadhi ya Zainabu anahojiwa akijitamnulisha kwa mara ya kwanza. Anamziki aliofanya ft na Kingwendu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Duh kweli mambo ya Pwani soo. Jamaa wamezama kwa mapenzi ya mashuga mamy. Jisomeeni wenyewe. Bongo flava gigolos at the coast...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Thread for the fans of the Kenyan Super Group Camp Mulla. New Videos, Songs and discussions!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
myn are shreck, finding nemo, a cloud with a chance of meat balls, and most of all my favourite old tym THE LION KING i never get tired of watching it.....now drop a movie and lets share:eyebrows:
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Moviez za nje wanaopenda KuDOWNLOAD kupitia TORRENT SITE Mbalimbali. Vifuatavyo ni vipufupisho vya majina yanayoandikwa mwisho ya majina ya movies kuonyesha ubora wa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
hellow peps wote wapenda movies sanasana series this is a place where we can share the series we have watched and still watching am a big fun of this thing to start with am on to how i met your...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vp member wote wa jf, kama kawaida kwa sisi wengne wapenzi wa tamthilia za kikorea,itv naona hapa leo wameanza tamthilia mpya,ingawa sijajua jina lake,mwenye kuijua zaidi au mwenye link ya...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Salaam wanabodi, Kama inavyofahamika kwa wengi kiini cha filamu bora siku zote huanza na muswada bora wa filamu ambao ni zao la hadithi iliyotimilika katika nyanja zote za fasihi.Siku zote...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote. Wanajamii; Wana JF Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Si vibaya kujua wako wapi kwa sasa........
1 Reactions
23 Replies
10K Views
TABASAMU: VIRUSI VYAMTESA CELINE DION,atakiwa kupumzika
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya msanii maarufu wa filamu duniani Nicolas Cage kutoa movie ya Ghost Rider One miaka kadhaa iliyopita sasa amerudi tena na muendelezo wa filamu ya Ghost Rider ambapo ametoa filamu ya pili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Je umeshawahi kukumbana na vimbwanga vya kishirikina? Kama hujawahi basi nakushauri ufuatilie movie hii iliyosheheni vimbwanga vya kila aina vya ushirikina iliyoigizwa na msanii maarufu wa kugiza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eti naskia the New Tripple A Club huwa ni funika bovu siku za J'mosi aise wadau, any one in there righ now ? Mi niko Bugaloo time hii, but i wanna make a shift ...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Wakati unaendelea kuperuzi JF hebu burudika na miziki ya Kibongo hapa chini http://ustre.am/pC5N kimokole on USTREAM: .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Willi Willi Dance Pati Didi Rico Rynz New Ugandan Video Dj Din - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pictured with terror on their faces: The moment student was crushed to death in surge towards nightclub exit This is the terrifying moment partygoers charged towards a nightclub's exit in a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom