Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa Clouds fm inapatikana Iringa!!

Discussion in 'Entertainment' started by Elai, Dec 31, 2011.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina tune radio yangu, ninashituka kuipata hii radio. Ni kipindi cha michezo cha saa tatu usiku. Ni around 90's Mhz. Wapenzi wa hii radio Iringa, wakati ni wenu.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Wanyaru bana kwa sifa za kijinga sasa unataka tufanyaje tulete ha times fm au? Nini cha ajabu hapo endelea kuwadanganya wanywa ulanzi
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wafu fm hata tabora wameanza...hawana jipya
   
 4. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 810
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hebu acha zako wewe, jamaa ametoa taarifa kwa umma sasa kama wewe hupendi nenda kasome threads nyingine, uungwana vitendo.
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 7,950
  Likes Received: 2,475
  Trophy Points: 280
  Wanyalu karibuni kwenye dunia ya utandawazi kwenye habari,burudani,etc.....nia kuongeza wigo wenu na upeo hasa wa kufikiria......na uwezo kunyambua mambo!! Kupata maamuzi sahihi na kusonga mbele
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,823
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Nyela Ndauli! yaani mnashangilia hiyo radio ya WAFU FM kupatikana huko Iringa! yaani ni bora nkaendelea kuongeza mashamba ya VITINDI kuliko kuisikiliza hiyo radio ya M>A>C>H>O>K>O
   
 7. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,699
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Acha ushamba wako wa kizaramo, kinachokufanya ulete dharau ni nini, jamaa ameleta taarifa wewe wawashwa wapi uanze kupayuka kama vuvuzela! Shindwa!
   
Loading...