Kulikoni TBC1 na mwendelezo wa tamthiliya ya LA LEVANCHA?

Kulikoni TBC1 na mwendelezo wa tamthiliya ya LA LEVANCHA?

gidytitus

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
332
Reaction score
29
Naomba kujua, hasa ktengo knachohusika na kurusha Tamthiliya hyo, wana mpango gani wa kuendelea kutuonyesha episodo zilizopta badala ya kuendelea na next episode! Its about 2weeks ova repeatng th previous scenes! Whats wrong tbc1??
By Mtz!
 
Kwani hujawazowea tbc?karibu star tv na tamthilia ya ukweli in love again tena ndio kwanza ina wiki!
 
Back
Top Bottom