Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

WanaJF naombeni mwenye link au wimbo wa Q chillah watu na maisha yao naomba anisadie...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Familia ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi imewashtaki watengezeji wa filamu ya Call of Duty kuhusu vile ilivyomuangazia katika mchezo huo wa video. Watoto 3 wa Savimbi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni utaratibu gani hutumika katika kuuziana kazi ya sanaa iwe nje au hapa nyumbani, mfaano mtu ana nyimbo au story ya movie taratibu gani hutumika kununua/kuuza kwa mwingine, na kama mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, nimependa na wewe mwenzangu usikilize hadithi nzuri. Utafurahi naamini. Ili usipitwe na hadithi tamu na nzuri nyingi kama hizi, unakwenda download Hadithi App kutoka PlayStore kwa kubonyeza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye huu wimbo wa Q chillah watu na maisha yao...naomba anielekeze jinsi ya kuupata
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kundi la Mziki la Navy Kenzo linalo Undwa na Nahreel na Aika Wameachia Wimbo wao mpya unaitwa Kamatia..... Hapa nimekuwekea Sehemu ya Kudownload Wimbo Huo Hapa>>>mkito.com/song/kamatia/18570…
2 Reactions
2 Replies
13K Views
Hivi ni kweli hawa jamaa wawili wana bifu kwa sasa? Mwenye kujua hili atujuze
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tuzo hizo za nchini Uganda zinazojulikana kama HIPIPO zimeshuhudia Diamond akiendelea kumgalagaza vibaya sana msanii anayekuwa overrated na mashabiki wake wakati uwezo wake ni butu. Vipengele...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Kijana anayeiwakilisha vyema Tanzania kila kona ya dunia ameibuka tena na Tuzo mbili kama msanii bora Afrika kwenye tuzo za TOOXCLUSIVEAWARDS na msanii bora wa Afrika kwenye tunzo za TRENDS...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
Hitmaker wa Mwana,Ali Kiba amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji. Mwimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wana Jf, Mimi hupendelea burudani ya muziki mara nyingi nipatapo muda wa kupumzika,au hata safarini na huwa nafurahia nyimbo za aina zote ilimradi ziwe nzuri.Kwa muziki wa nyumbani...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Nani huku nkali wakuandika nyinbo nzuri anisaidie niadikia nyinbo kali
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama wew n mpenzi wa taarab unatafuta wimbo au story zote za wasanii basi hapa ndo jamvini kwa waswahili haswaa karibuni
0 Reactions
9 Replies
4K Views
"Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi...
3 Reactions
76 Replies
15K Views
Anasema kwamba anajivunia uzalendo, ni fahari yake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ni Bendi zipi zinazotikisa Arusha katika maisha yao ya burudani huko?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ebhanaeeeee.... nimepakua hii ngoma just now aiseeee.... pini kali na bit mixer redeem imebamba matata. Video ina watoto wakali hatari, kiukweli video ipo kali mbayaaa ingawa AY kuna some movement...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow, Ni nyimbo ya bongo fleva iliokuwa iki-hit mwaka 2008 kwenye studio za eatv moja ya mistari yake inasema hivi, "Skiza wimboo ooh na hii story nakumbuka maisha ya zamanii na hii story...."...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
It's a sad truth that child actors invariably turn out to have difficult lives. But what of baby actors? Well, happily, things seem to turn out well for those who grace the big screen at a very...
1 Reactions
2 Replies
17K Views
Habari wadau wa JF. Ninahitaji wimbo unaoitwa zao mtunzi ni Lady Jay D mwimbaji ni marehemu Nasma Hamis...... Tafadhali kama kuna aliyenao anitumie tafadhali.... Shukrani!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom