chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
SEHEMU YA TISA
THE GIRLS IN ISLAND 09
Alipomaliza kuoga, alitoka na kunichekea baada tu ya kuniona.
“wewe ni mwanaume wa shoka.” Aliongea malikia na kunilalia kifuani.
“sasa naweza kukusikiliza mume wangu. Ongea chochote unachokitaka kutoka kwangu.” Hatimaye malikia aliongea kitu ambacho nilikua nakisubiria muda mrefu.
“mimi shida yangu ni moja tu, naomba uwaachie huru marafiki zangu niliokuja nao huku.” Niliongea kuinyonge huku nikimuangalia malikia Trizza..
“mbona unakua mnyonge hivyo wakati wewe ndio shujaa wangu?... hilo limepita, kabla ya kiza kuingia watakuwa huru.”
aliongea malikia Trizza na kunifanya nitabasamu.
“waooh.. nakupenda sana mke wangu.”
Niliongea na kumkumbatia malikia kwa furaha ya dhati kwakua lengo langu la kuwatoa marafiki zangu kwenye uzio wa kifo lilifanikiwa kwa asilimia 99.
Jioni ya siku hiyo niipelekwa hhadi gerezani. Na nikashuhudia kwa macho yangu wenzangu wakitolewa na kuletwa pale nilipo. Walikua wamechoka sana huku miili yao ikiwa imedhoofu kutokana na mawazo ya kifo yaliyowatwala.
Hawakuamini kama ningefanikiwa kuwatoa mule ndani. Walinifuta na kunikumbatia huku wanalia. Nami machozi yabgu hayakua mbali, nikaungana nao kwa dakika kadhaa na kulia pamoja.
Nilirudi nao katika kasiri lile la malikia Trizza na kuwakutanisha na malikia.
“kuanzia sasa mpo huru, kuweni na amani. Pia nawakaribisha kama raia wapya wa kisiwa hiki. Mnaweza kufanya chochote hata kuchukua wanawake mnaoweza kuwamudu na kuishi nao. Maana huyu rafiki yenu ni mfalme huku na ataishi huku milele pamoja na nyinyi kama mkipenda. Ila pia mna chaguo la kurudi kwenu kama mtahitaji kurudi huko.” Aliongea malikia na kuniegemea
Tulikula wote kwa pamoja chakula cha usiku na baadae wenzangu walipelekwa kwenye vyumba vyao ambavyo watakua wanaishi.
Asubuhi ya sku ya pili yake, niliwaalika marafiki zangu kwenye kasiri na kuongea nao ili nijue msimamo wao juu ya kuendelea kukaa pale au tuondoke.
“sisi hatuna pingamizi na uamuzi wowote. Maana hata kukaa huku ni neema kwetu. Maana tunaletewa tu vyakula na kila aina ya starehe tuitakayo ipo huku. Sasa kuna kitu kingine ni wasichana wazuri ambao ukihitaji unamgusa tu na unakua nae. Haina haja ya kutongoza na hakuna maradhi ya ukimwi wala magonjwa mengine ya zinaa. Hakuna mbu wala nzi. Sasa unafikiri mtu ukipata nafasi hii utafikiria kurudi tena kwenu.?” Aliongea Booker na alipogusia swala la wasichana, wote tulicheka.
“sasa unasema wasichana wazuri, ila kumbuka kuwa msichana mmoja tu, alikutoa upepo na ukashindwa kufua dafu kwa mtoto huyo?” aliuliza Saidi.
“si unajua tulichoka halafu mimi kama mimi siwezi kufanya mapenzi hadharani. Ndio maana nikashindwa kummudu.” Alijitetea Booker.
“acha uongo wewe,…. Wewe mbele ya kifo unasema ulifsnya chini ya kiwango makusudi?. Sema ulshindwa mtanange.”aliongea Saidi na kutufanya tucheke.
“acheni malumbano… kwa hiyo mkekubali tubaki huku?” niliongea baada ya kuona mjadala umekuwa wa watu wawili badala ya wote tuliokuwa pale.
“mimi naona bora tubaki.” Aliongea Philipo aliyekuwa kimya muda mrefu.
“basi sawa, ila mimi sitokaa hapa muda mrefu. Nikihitaji kusepa nitawashtua. “ niliongea na kuwatazama kwa zamu.
“mbona malikia amesema ni sisi pekee ndio tuna uchaguzi wa kuondoka?” aliuliza Booker baada ya kusikia ile kauli.
“umesema malikia,.. ila mimi siwezi kuishi huku milele kwakua nina mipango mingi isitoshe kuishi huku ni sawa na kuwa mtumwa wa ngono.” Niliongea na kuwafafanulia ni jinsi gani naweza kuondoka kwenye kisiwa hicho.
Baada ya majadiliano hayo, tulitawanyika na kila mmoja akaenda chumbani kwake.
Siku ya pili yake, wale marafiki zangu waliandaliwa sherehe kubwa na malikia na wasichana vigoli kabisa waliitwa hapo ili na wao waweze kujipatia wasichana wa kukaa nao. Hawakupangiwa idadi, ila kila mtu kulingana na uwezo wake basi alikua na uhuru wa kuchukua wasichana anaoweza kuwamudu.
Ilikua kazi kubwa sana kwako kutokana na ushindani wa uzuri wa sura na maumbo ya wasichana hao. Walikua warembo sana na wenye mvuto wa kimahaba.
Mate yaliwajaa midomoni kwa uchu. Kila mmoja alipita na kuwakagua hao wasichana huku macho yao yakionekana kuwa yamepatwa na mawenge na kutokua na maamuzi sahihi ya kutulia na msichana mmoja.
Wakati mwengine walionekana kuwashika tu mikono bila kuchagua kwa muda mrefu.
Hakuna aliyechagua msichana mmoja, ila Booker alizidisha, yeye kwa tamaa zake za wasicana warembo, alichagua wasichana wanne katika makumi ya wasichana warembo waliokuwepo hapo.
Baada ya sherehe hiyo kuisha, wasicha walioteuliwa walihamia kwenye vyumba walivyopewa wale marafiki zangu.
Usiku wa siku hiyo nilikua nina kibarua kingine cha kuhakikisha nampa malikia ladha ile ile ya siku ya kwanza. Nilikua nawaza sana kwakua sikuhitaji kumchanganya zaidi kwakua niliamini kuniachia ingekuwa ni ngumu. Pia sikuhitaji kupiga chini ya kiwango kwakua niliamii pia ningemksirisha na angeweza kunipa adhabu.
Muda ulipofika, nilitulia kitandani huku mawazo mengi yakichukua nafasi kubwa kichwani mwangu. Baada ya malikia Trizza kutoka kuoga, alinifuata na kuanza kunitomasa tomasa huku akiziruhusu chuchu zake ndogo kunichoma choma kwenye kifua changu.
Sikua na jinsi kwakua ile kazi ndio iliyonifanya niwe hai na kuwakomboa marafiki zangu. Nilimpokea kwa mikono miwili na kuanza kumpa mambo adimu zaidi ya yale ya siku ya kwanza. Lakini cha ajabu, haikuchukua muda mrefu kama ile ya kwanza. Safari hii masaa manne tu nilifanikiwa kukamilisha kitu ambacho malikia alikua anahitaji na kulala zangu bila kwenda kuoga kutokana na uchovu niliokuwa nao baada ya kumaliza tendo hilo.
Asubuhi ya siku hiyo niliamka mapema kabla ya malikia kuamka na kwenda kuoga. Nilipomaliza nilifungua mlango na kukuta meza ya chai imeshawasili na kuletwa mlangoni. Niliivuta ndani na kuanza kunywa chai. Nilipomaliza, nilitoka nje na kwenda kwenye uwanja uliokuwa na viti kadhaa vya kupumzikiz kwenye vivuli vya miti iliyokuwepo hapo na kuanza kupata kiyoyozi cha Mungu.
Baaa ya nusu saa, malikia alinifuata na kukaa namimi karibu.
“umeamkaje mpenzi wangu.” Alinisalimia na kuniegamia kifuani baada tu ya kukaa karibu yangu.
“nimeamka vizuri tu sijui wewe?” nilijibu huku nikionyesha mapenzi juu yake kwa kupitisha mkono wangu kwenye mabega yake na kumkunyata kidogo ili tuzidi kuwa karibu zaidi.
“naomba unioe.” Aliongea malikia kauli iliyonishtua kidogo. Maana sikutarajia kabisa kama malikia alikua na wazo kama hilo kichwani mwake. Kiukweli sikua na hamu ya kukaa kwenye kisiwa kile. Ila nilikua natafuta njia ya kuondoka kwa amani nikiwa na marafiki zangu baada ya kushinda mitihani waliyonipa.
“mbona mapema sana.” Niliongea bila kuonyesha kubadilika, ila moyoni nilibadika na kuchukia sana kauli aliyoitoa malikia.
“kwa michezo uliyonionyeshea usiku wa leo, si dhani kama unatakiwa kuwa mbali na mimi. .. kuwa mfalme pekee haitoshi, ila ukinioa tu mimi, nitakupa mamlaka ya kutawala hadi majini wadogo na utawaona kwa macho yako. Pia itakua ni mara ya kwanza kufungika ndoa mahala hapa toka kisiwa hiki kilipoibuka. Nakuomba ukubali mpenzi wangu.” Alilalamika malikia Trizaa huku machozi yakimtiririka kama maji.
Hapo nilianza kuona ugumu wa safari yangu. Sikua na la kufanya zaidi ya kutulia tu bila kujibu kitu chochote.
“naomba unifikirie mara mbili… nakupa wiki moja ya kulifikiria hili kwa hiyari yako.” Aliongea malikia Trizza huku akimaanisha kuwa baada ya wiki moja alikua na uwezo wa kunilazimisha kufanya yote aliyokuwa anataka kufanya.
Nilitamani kuongea chochote, ila nilihofia usalama wangu na kuamua kukaa kimya tu bila kujibu chochote.
Usiku wa siku hiyo sikupata usingizi. Nilitoka nje baada ya kuona malikia amepitiwa na usingizi na kukaa nje.
Baada ya muda, nilisikia sauti ikiniita kutokea kizani. Mwanzoni niliogopa na kupatwa na hofu kwakujua kua ile sauti ilikua ni moja ya sauti ya majini ambao mimi sikua na uwezo wa kuwaona. Lakini baada ya muda yule mtu aliyekua ananiita alijitokeza wazi na nilipomuona nilimtambua.
“kha!.. kumbe upo?”nilistuka kidogo baada ya kumuona yule dada aliyenisaidia kipindi kile cha mtihani mgumu. Nilimfuata kule alipo na kunipeleka kwenye lile bwawa tulilokamatwa mwanzo na kukaa chini kwenye majani yaliyokuwa mafupi huku eneo hilo likiangazwa na mwanga halisi wa mwezi.
Nami nilimfuata na kukaa nae karibu.
“ni kitu gani kilichokufanya uwe nje mpaka mida hii.” Yule dada aliniuliza swali baada ya kimya cha sekude kadhaa toka tulipokaa pale.
“ni matatizo tu,… nahisi nahitaji tena msaada wako.” Nilijibu na kumuangalia usoni yule dada aliyekua na umbo dogo na zuri la kuvutia zaidi ya hata malikia Trizza.
“kwa sasa huwezi kupata msaada wowote kutoka kwangu.” Aliongea yule dada na kunikazia macho ambayo hayakunitisha, bali yalifanya nizidi kuuona uzuri wake uliojificha kwenye sura yake.
“nakuomba sana unisaidie. Sihitaji kuendelea kukaa hapa kwenye hiki kisiwa. Nahitaji kurudi kwetu.”niliongea kwa masikitiko makubwa huku nikimuangalia yule dada kwa macho ya huruma.
“sio rahisi kama unavyofikiria… hivi unaja kwa nini nipo hapa muda huu?” aliongea yule dada na akaniuliza swali ambalo nilitakiwa kumuuliza mimi.
“sijui!?” nilijibu kwa mkato.
“unakumbuka ni kitu gani nilichokuambia siku ya kwanza tu tulipokutana kimwili wewe na mimi?” aliniuliza tena yule dada na kunifanya nianze kutafakari na baadae nilipata jibu.
“nakumbuka,.. uliniambia kuwa unanisaidia kwa sababu unanipenda kwa dhati.” Nilijibu na kumuangalie yule dada ambaye hakua anatabasamu wakati huo.
“nshukuru kama una uwezo wa kukumbuka kwa kiwango hicho. Hivi unafikiri mimi nipo kwenye hali gani toka uliponionjesha asali yako?... unafikiri moyo wangu unaumia kiasi gani kwa kuwaona wewe na malikia mkiwa mnaongozana na kulala chumba kimoja?..umeshawahi kufikiria kuwa naumia kiasi gani?.. naomba unipende ili niweze kuishi na wewe milele daima. Nilikupenda toka siku ya kwanza na mpaka kesho nitaendelea kukupenda. Naomba usikatae kwakua uliyekuwa naye kwa sasa anakutumia tu na kama atapatikana mwengine wa kuushida mtihani huu, basi utakuwa huna thamani. Nakupenda sana na naomba ukubali ili nikuonyeshe njia za kujinasua katika mikono ya malikia Trizza.” Aliongea yule dada maneno yaliyoniacha mdomo wazi. Sikua najua kuwa hata hawa viumbe nao walikua na mioyo ya kupenda. Nilibaki nimeduwaa tu kutokana na mitihani mizito niliyoipata kwa siku hiyo.