Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wakuu, Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26. Sasa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
“KIFO oooh kifoo, kifooo kifoooo, kifo hakina huruma!” Naam. Ndivyo alivyoimba marehemu Ramazan Mtoro Ongalla ‘Dk. Remmy’ wakati akiwa na bendi yake ya Super Matimila ‘Wana Bongo Beats’...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikiliza mashairi ya nyimbo zao kisha tuone nani ni mkali. JUICY- NOTORIOUS B.I.G "Juicy" [Intro:] (---- all you hoes) Get a grip mother----er. Yeah, this album is dedicated to all the...
3 Reactions
51 Replies
20K Views
Kituo cha luninga cha StarTV huwa kina kipindi cha tamithiliya siku za jumanne na ijumaa kuanzia saa 3:30 - 4:30 usiku, jumamosi na jumapili kuanzia saa 3:00 -4:00 usiku. Mara nyingi hupendelea...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msanii alikiba akihojiwa juu ya kufanya kolabo na Daimond na majibu yake. kwa kweli inatia moyo kidogo. Najua one day bonge la ngoma litashushwa na history itaandikwa kama ikitokea Chib na Kiba...
1 Reactions
63 Replies
12K Views
TCRA imetoa taarifu kwenye mtandao wa twitter wakati ikijaribu kumuelewesha AY na mashabiki wenye dukuduku kuhusu uamuzi huo. Awali uamuzi wa TCRA ulitafsiliwa kuwa video hiyo yenye views...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu wimbo wa Beka Ibrozama kwa kweli ni wa "level" nyingine,unasikilizwa na kupigwa hata katika kumbi kubwa za miziki nje ya nchi.Juzi nilikuwa sehemu ukapigwa watu wengi walidhani itakuwa ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau, Nimekuwa nikiutafuta wimbo niupendao sana Mapenzi ya Siri, ulioimbwa na mmoja wa waimbaji mahiri sana Hussein Jumbe. Tafadhali kama unao wimbo huu nitupie hapa na utakuwa umenisaidia sana...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Dakika na Sekunde yoyote kuanzia sasa Kijana Mtanzania ambaye hajawahi kutuangusha kimuziki atadondosha Video yake mpya aliyomshirikisha Msanii kutoka South Africa, AKA ambaye ndiye rapper bora...
16 Reactions
326 Replies
58K Views
Zigo ‘remix’ (AY ft Diamond) yafungiwa, AY afunguka. Video ya Wimbo wa Zigo "remix" ulioimbwa na AY akimshirikisha Diamond Platnumz imepigwa marufuku kupigwa katika vituo vya televisheni.Uamuzi...
1 Reactions
117 Replies
19K Views
Najua mtakapoona kichwa cha thread mtashangaa kulikoni tena WoS! Ndio hivyo tena. Wikiendi ndo inanukianukia.. Hebu nianze kuangalia viwanja gani vinafaa kwenda kutembelea ili kupunguza msongo na...
1 Reactions
109 Replies
17K Views
Wakuu Heshima kwenu!! Mimi ni mpenzi sana tena "kindaki ndaki" wa mieleka ya kimarekani hususani WWE na TNA. Kwangu nina king'amuzi cha DSTV na humo kuna channel 250 ( e - Africa). Hawa wakati...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Jamani kwa mwenye hizi nyimbo mbili za taifa letu pendwa Tanzania naomba aniwekee. -Ya kwanza ni hii, Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote. -Ya pili ni hii, Tazama Ramani Msaada wenu wakuu!
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Hivi watalaamu kuhusiana video za kushoot na kurecord. Kuna utofauti hapo? Je #Sizonje ya Mrisho Mpoto-Video yake kashoot ou karecord?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuzo za Grammy zinaheshimika sana nchini Marekani. Host wa show alikua mzee mzima mwenyewe, L. Cool J. Walioshinda ni wengi kdogo na category ni nyingi kidogo ila hapa nimejaribu kuwaweka wale...
4 Reactions
139 Replies
14K Views
Wakuu nashukuru kibao cha Maya nimekipata......tuendelee na burudani....kuna mtu mwenye kibao cha Tulizaliwa sote kilichopigwa na Hamza Kalala atupostie tupate burudani zaidi.....nilikuwa nacho...
0 Reactions
26 Replies
16K Views
Back
Top Bottom