Katalunya si mchezo!!

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,872
1,206
Kuna kiwanja kimoja pale jirani na Mlimani city cha kuitwa KATALUNYA!!
ni nani founder wake!? nataka kumpa pongezi tu kwa ubunifu na ukisasa kiasi chake kwa biashara hii ya vileo kulinganisha na bars nyingi hapa Dsm town!!

kinaonekana kusheheni watoto wa mjini na si ghali hata kwetu tuaopendaga kwenda kutafta hishima maeneo ya mauzo kama haya.

Hongera mmliki kwa ubunifu!
Hasa ukianzia kwenye jina tu!!
 
umekuja mjini lini?
 
Kiko poa sana hicho kiwanja nakipata
 
Mbn bei ya bia ipo juu bora niende kitaa Pub tu nkikosa mzigo naondoka na mama muuza
 
ziko mbili moja barabarani,nyingine kwa nyuma kidogo,meneja ni baba yake demu mmoja anaimba imba,lkn panya road walipopiga patrol hapo pia walipita,kuwa makini sana
 
Back
Top Bottom