Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 194
Nimeipenda sana hii tamthiliya ya Siri ya Mtungi.
Kwanza ina reflect uhalisia kuanzia jina la tamthiliya, uigizaji, mazingira, lugha mpaka majina ya characters. Majina kama vile Cheche, Mtungi, Tunu n.k. yanapendeza. Na sio kama kina bongo movies utasikia mara clifford, ericson, ford, clara, mark ambayo ni wenzetu wazungu.
Tamthiliya inapendeza inaporeflect uhalisia, na kuzingatia utamaduni wa sehemu husika.
Movie isiporeflect utamaduni inakuwa haina jipya la kuangalia.
Hii ndio siri ya kufanikiwa kwa Movie za ki-Nigeria na Latin America.
Nadhani ni fursa nzuri kwa kina bongo movie kuichukulia muvi hii kama darasa kwao.