Nilimsikia Ruge akihojiwa na Salama kwenye mkasi, akasema kuna kituo kimija cha redio hakipigi nyimbo za msanii fulani kwa miaka miwili sasa!!
Baadae nikaanza kusikia minong'ono mitaani na mitandaoni kuwa huyo msanii ni Diamond
Nikaamua kufualitilia,ambapo kila nikipata wasaa wa kuangalia TV(japo siyo mara nyingi) lakini kwa mara zote nilizoangalia playlist ya nyimbo zinzopigwa EATV na EA Radio, sioni nyimbo za Diamond, ukijitahid basi utaona wa AY na Dimodn Zigo lakini si nyingine, hata huo pia haupigwi kama ambavyo unastahili, sababu can u imagine haupo kwenye top 5 au 10 yeyeote ile ya ya EATV
Swali: Haka kajamaa kaliwakosea nini hawa watu?? na Je hawaoni kama wanapoteza tu baadhi ya mashabiki, sababu haka kajamaa kamefika levo ambayo hata ukikabania ndani kanatusua tu