Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,680
habari wakuu....kuna nyimbo ya taratibu ya kiingereza yakitambo ivi....nimeisahau jina na mwimbaji pia ila naijua baazi ya matukio katika video ya huo wimbo.iko ivi.....
mwimbaji ni mwanaume na anaimba kwa uchungu sana pia wakati anaimba huwa anavua viatu....kisha saa....na mwisho wa nyimbo anajirusha ghorofani.
kwa mwenye kuijua tafadhali niambie jina nikipata link ya youtube nitashukuru zaidi.