Hadithi;The girls in island -08

chiqutitta

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,160
3,124
SEHEMU YA NANE
THE GIRLS IN ISLAND 08

Baada ya hapo nikapelekwa jela ambapo nilibaki nimeduwaa baada ya kuona jela kubwa kama hiyo iliyokuwa na watu zaidi ya milioni mbili kwa hesabu za haraka haraka wakitokea mataifa mbali mbali waliokamatwa kwa makosa kadhaa ikiwemo kushindwa kumudu kuwafikisha kileleni wasichana hao teule kwa ajili ya kufanya mapenzi na wanaume wanaokamatwa.

Gereza la mwisho kabisa, nilikutana na marafiki zangu. Nilijisikia vibaya lakini siku na jinsi. Niliwapa salamu kwa kuwaonyeshea mkono tu na nikatolewa nje bila ya kuongea nao chochote.

Tulirudi nyumbani na mimi nikapata chance ya kwenda kuoga kwenye bwawa maalumu. Baada ya kuoga, nilitoka na kurudi chumbani ambapo nilimkuta malikia akiwa amekaa kwenye kitanda huku meza ya chakula ikiwa karibu yake.

Nilisogea na kukaa karibu yake huku na mimi nikijiandaa kuungana nae kwa ajili ya kupata chakula hicho kwa pamoja. Nilikuta wmepika chakula nilichowaagiza huku nyama zilizotawala zilikua za kuku. Nilikula sana mpaka malikia alinishangaa.

Baada ya hapo nikaamua kujilaza kitandani nikiwa na nguo zangu.

“mbona unalala na nguo?” aliniuliza malikia baada ya kuniona nimelala bila kuchojoa nguo zangu.

“nimeona hali ya hewa sio ya joto. Hivyo sioni kama kuna haja ya kuvua nguo.” Niliongea huku nikijifanya sielewi kitu chochote alichukua akikimaanisha.

“vua nguo zako bwana, wewe umeona wapi mwanaume na mwanamke wanalala pamoja huku wakiwa wamevaa nguo zao?” aliongea kimahaba na kunifuata nilipolala na kuanza kunichojoa nguo zangu taratibu.

Baada ya kuhakikisha nimebaki na nguo ya ndani peke yake, ndipo aliporidhika na kushuka kitandani. Alienda kupunguza mwanga wa taa zilizokua zinamulika chumbani na yeye kuanza kuvua nguo zake na kuingia bafuni.

Baada ya kuoga, alitoka akiwa hana hata kipande changuo na kwenda kwenye henga na kuchukua moja ya nguo za kulalia na kuvaa. Lakini haikunizuia mimi kuliona umbo lake halisi kutokana na uwepesi wa ile nguo. Baada ya kumaliza kuvaa, alinifuata kitandani na kunisogelea karibu kabisa.

“nadhani usiku wa leo tutaufurahia pamoja.” Aliongea malikia kwa sauti ya mahaba.

“sawa,.. ila nilikua nina wazo.” Niliongea kwa kujiamini.

“wazo gani hilo?” aliuliza na kunyanyuka kifuani alipolala.

“kama hautajali, uniache hii wiki yote hii nipumzike, ili siku ya ufunguzi baada ya kuapishwa kuwa mfalme, nikupe mambo adimu ya kushangaza kwakua nitakua nina nguvu za kutosha pia nitakua nishakujulia ni wapi nikuanze. Kuliko leo hii nitafanya chini ya kiwango. Pia utakua hujapata ile ladha adimu hata kama tukirudia tena kwakua hujapata kile kitu roho inapenda.” Nilijitetea huku nikimshika shika nywele zake.

“nimekuelewa…. Ila leo tu, japo kidogo jamani mwenzako nimezidiwa. Wee unafikiri nilikua katika hali gani nilipokua nakuangalia unafanya mapenzi katika ule mtihani niliokupa?... nimevumilia sana toka jana. Leo tufanye tu.” Aliongea malikia huku macho yake yakizidi kulegea na kunionyesha ni jinsi gani alivyozidiwa kweli.

“haya kama huhitaji kunisikiliza, ila nilikua nina maana kubwa sana katika jambo hili. Wewe una hamu na mimi nguvu nilizokuwa nazo hazitoshi kukufikisha kileleni. Utaniona nakufanyia makusudi bure kumbe wewe ndio muhusika mkuu wa kunifanya nishidwe hili zoezi.” Niliongea kwa mpangilio maneno ambayo nilikua naamini lazima atakubaliana na mimi.

Nilimuweza kwa kauli zangu, kishingo upande alikubali kusubiri siku ya kuapishwa kwangu na kuwa mfalme wa kisiwa hicho cha MALAIKA.

Siku ya uapisho ilifika na mimi nikavalishwa nguo rasmi za kifalme na kupelekwa kwenye viwaja vilivyofanyika sherehe hiyo. Nilifanyiwa mila zao za huko na baadae nikapelekwa kwenye chumba maalumu cha uapisho na nikatawazwa kuwa mfalme halali wa kisiwa hicho.baada ya hapo, nilirudi kwenye kiti cha enzi na kukaa. Baadae malikia alikuja na taji na kunivisha. Umati wote uliohudhuria hapo ulipiga kelele na kushangilia kupita kiasi. Baada ya hapo malikia alinyanyuka na kuanza kuhutubia.

“namtangaza kwenu mshindi wa shindano lililofanyika siku chache zilizopita kuwa mfalme halali wa kisiwa hiki cha Malaika. Jina lake ni Hijja. Hivyo atakuwa anaitwa mfalme Hijja. Japokuwa mambo mengi bado hajayajua, ila naamini atayajua taratibu akiwa hapa…. Karibu mfalme Hijja uongee na watu wako.” Aliongea malikia na kunigeukia nilipo. Nilisimama na watu wote waliokua hapo waliinama kama ishara ya salamu ya heshima. Walipoinua vitu vyao nikaanza kutoa shukurani zangu.

“napenda kuwashukuru wote milofika hapa katika sherehe hii ya uapisho wa kunifanya mimi kuwa mfalme. Natoa shukurani zangu za dhati kwa malikia TRIZZA kwa kunichagua kuwa msaidizi wake katika uongozi pia nitakua mtovu wa shukurani kama sito mshukuru…..nimemsahau jina. Ila namshukuru sana.” Niliongea na kuwapungia mkono watu waliohudhuria pale. Hata wao walinipungia mkono na kunipigia makofi.

Sikua nalikumbuka jina la yule msichana aliyenisaidia kunipa chabo za kuwashida wale viumbe. Ila kiukweli moyoni nilimpa heshima zote yule dada. Kwani bila yeye hata mimi ningekuwa gerezani nasubiria adhabu ya kifo.

Baada ya sherehe hizo kuisha, watu wote walitawanyika na mimi nikiongozana na malikia tulirudi kwenye kasri letu. Baada tu ya kufika ndani, chakula kililetwa na wote tukaanza kula kwa pamoja.

Nusu saa baadae, malikia alinyanyuka na kunifuata nilipokua nimekaa nikijaribu kumtegea malikia aanze kuniambia chochote. Maana nilijua kabisa kuwa ile ndio siku ya ahadi yetu.

“twende tukaoge basi.” Aliniambia na kunishika mkono. Sikua na chaguo, nilinyanyuka na kumfuata mpaka bafuni.

Ilikua ni ngumu sana kuweza kuzizuia hisia zangu kwa mrembo huyo aliyenifanya nisisimkwe na viungo vyote baada ya kugusanisha mwili wake na wangu tukiwa watupu.

Tulioga kwa muda mrefu na baadae tukarudi kitandani kwa ajili ya kuanza mchezo wa ahadi yetu.

Nilikumbuka njia zote nilizoelekezwa na yule msichana aliyetokea kunipenda na kusababisha niwe hai mpaka muda huo. Sikua na papara. Nilianza kumgusa gusa maeneo ya mbavuni, ndipo nilpomuona anashtuka kidogo. Baada kuona kuwa hiyo sehemu nayo ina maksi katika kazi yangu, nilianza kuutalii mwili wake kila kona na kupata sehemu kama kumi na mbili za mihemuko kwake yeye. Nilimtesa kwa muda wa masaa yapataayo manne kwa kumchezea tu bila kujali kama alikua analia na kuniomba nianze mchezo.

Baada ya kuona amelegea, ndipo nilipoanza mtanange huo uliodumu kwa muda wa masaa mawili na nusu. Hapo niliona mihemo ya malikia Trizza inabadilika na kuwa isiyoeleweka.

Japokua nilikua nimechoka, nilijikaza kiume na kuongeza spidi na kujifanya kama ndio naanza. Hapo nilimpatia sana malikia, maana alining`ang`ania kama kupe na haikuchukua muda alipiga kelele zilizofanya mpaka kile chumba kitikisike. Nilikaa pembeni na na kujilaza kutokana na uchovu niliokuwa nao. nilipotazama pembeni, nilimuona malikia akiwa hoi zaidi yangu.

Nilitabasamu na kujitahidi kunyanyuka na kwenda kuoga. Niliporudi, nilijitupa kitandani na kupitiwa na usingizi mzito.

Niliamka asubuhi na kuangalia pembeni ya kitanda. Sikumuona malikia Trizza. Ila nilisikia maji yakimwagika bafuni ndio nikajua kuwa malikia alikua anaoga.

Alipomaliza kuoga, alitoka na kunichekea baada tu ya kuniona.

“wewe ni mwanaume wa shoka.” Aliongea malikia na kunilalia kifuani.

“sasa naweza kukusikiliza mume wangu. Ongea chochote unachokitaka kutoka kwangu.” Hatimaye malikia aliongea kitu ambacho nilikua nakisubiria muda mrefu.

“mimi shida yangu ni moja tu, naomba uwaachie huru marafiki zangu niliokuja nao huku.” Niliongea kuinyonge huku nikimuangalia malikia Trizza..

“mbona unakua mnyonge hivyo wakati wewe ndio shujaa wangu?... hilo limepita, kabla ya kiza kuingia watakuwa huru.”

aliongea malikia Trizza na kunifanya nitabasamu.

“waooh.. nakupenda sana mke wangu.”

Niliongea na kumkumbatia malikia kwa furaha ya dhati kwakua lengo langu la kuwatoa marafiki zangu kwenye uzio wa kifo lilifanikiwa kwa asilimia 99.
 
hongera dogo,nadhani badae waweza kuwa mtunzi mahiri,umeonyesha unaweza
 
Back
Top Bottom