Alikufa kwa ngoma

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...

Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....

Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
 
We mwenyewe hujitambui huyo FA si ndo ameimba ahsanteni kwa kuja na kufanya video ya vichupi ambapo haijulikani kama script alitoa yeye au director?kwan domo ndo anakukera au mafanikio yake yanakukera?
 
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...

Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....

Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........

Hapo ulipomkandia domo tu ndio nilipokudharau
 
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...

Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....

Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
Nakubaliana nawe, kuna wimbo alitunga mzee wetu Ali Kiba haufai kuusikia au kuuangalia wakati wa kula au kujipumzisha . Wimbo huo unaitwa usinitenge, mshikaji anadai walimnyima chakula akaamua kula mayai ili atengeneze nyuklia kuwakimoa watu wanaokula.

Mzee Kiba ni wa hovyo sana.
 
Mmeshindwa kujua kuwa lady jay dee alikuwa ana match na FA ktk nyimbo walipo gombana mmoja wao au wote lazima washake
 
Hata mimi huu wimbo nikiusikiliza huwa nawaza mengi sana,FA katika ubora wake.
 
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...

Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....

Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........

= ladha
 
Wakati wewe unaangaika na kumringanisha huyo mwenye muziki unaokaa miaka milioni 570, huyu mwenye muziki unaokaa dakika 5 hafikiwi na msanii yeyote wa TZ si mali, fedha wala sifa yoyote inayohusu muziki sembuse Fa.t.u.m.a ambaye hata akikatiza Makumbusho stendi kwa miguu hakuna anayehisi uwepo wake.
 
Na ule wimbo wa "Starehe" aliouimba Ferouz nasikia alipewa Benz na Rais.B.W.Mkapa enzi hizo.
Kiukweli nyimbo za zamani nyingi zina ujumbe mzuri na zinaweza kutumika hata leo.
But ndo hivyo wasanii wa zamani pengine walijibweteka isitoshe mambo ya sayansi na technology yamerahisha mengi.
Big Up Nyimbo zote za zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom