Rest in peace Complex

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Wazee na wanaJamvi,

Leo,katika collection zangu za bongo fleva nimekutana na mkongwe ambaye sasa ameshatangulia mbele za haki,Complex.Kwakweli,jamaa aliwahi mapema sana wakati ndio alikuwa anapaa.
Mungu amrehemu huko alipo.
Rest in peace complex,Langa.....endelea

Taja wale wakongwe na walioanzisha bongo fleva na hiphop
 
Jamaa nyota yake ndio ilikua inaanza kukua ipande wa utayarishaji wa muziki ghafla akatuacha.. RIP Complex Kalamashizo...almost 10 years now...hizi ni nyeti by wagosi wa kaya moja ya kazi zake
 
Thanks Mkuu. Jamaa alipata ajali akiwa na girlfriend wake man. Wote wakafa. Nilikuwa bwana mdogo ila iliniuma sana. Ay- raha tu remix complex alishiriki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom