Sautsol watoa Filamu mpya na Alikiba . . .

pierre buyoya

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
476
163
Masaa machache yaliopita Wasanii nguli wa kenya maarufu kwa jina la Sautsol Wametoa Filamu yao mpya waliomshirikisha msanii nguli wa Tanzania Alikiba #kingkiba . . .

Filamu hiyo iliyoachiwa Youtube masaa machache yaliyopita mpaka sasa imefikisha views zaid ya 5000 na kuvunja rekodi ya Filamu yenye views wengi kwa muda mfupi . . .

Wachambuzi wa mambo wanasema huenda filamu hii itakuwa ya kwanza kutoka Afrika mashariki kuingia kwenye tuzo za Oscar nchini marekani . . .

Filamu hiyo ya Unconditionally Bae imechezwa kwa muda wa dakika 7:23 na kuvunja rekodi ya dunia . . .

Goodluck sautsol and alikiba . . .

2785d5436be2f4c65f4c401ba6df5904.jpg
 
Back
Top Bottom