Msaada mwenye Wimbo Julie wa Bob Rudala.

Msaada mwenye Wimbo Julie wa Bob Rudala.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,444
Reaction score
46,195
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba mdau yeyote mweye wimbo uitwao Julie wa Bob Rudala aniweke hapa sababu nautafuta sana.
 
Mi natafuta nyimbo za justine kalikawe mwenye nazo tafadhari atupie hapa, natanguliza shukrani.
 
Karibu sana kama una mwingine unautaka sema Tu kama ninao kwenye library yangu nitakupatia
 
Back
Top Bottom