chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
SEHEMU YA NNE
THE GIRLS IN ISLAND 04
Ndani ya mwezi mmoja tu, ulitosha kabisa kumpa umaarufu Mac Donald kutokana na utajiri aliokuwa nao na kuvumbua madini ya aina mbali mbali ambayo aliyapa majina yeye mwenyewe.
Haikuishia hapo, kitabu chake cha THE GIRLS IN ISLAND kilimpa umaarufu sana katika pande zote za dunia kutokana na watu wengi sana kuwa na kiu ya kukifahamu kisiwa hicho cha maajabu kilichokuwa katika bara la Afrika katikati ya nchi ya Tanzania na Comoro.
SONGA NAYO:
Taarifa hizo za kuwepo kwa kisiwa chenye utajiri. Kulifanya watu wengi kukitembelea kisiwa hicho. Lakini cha ajabu hakuna aliyefanikiwa kurudi. Taarifa za habari ziliripoti kupotea kwa watu wote waliosadikika kwenda kisiwa hicho cha wanawake.
Katika kitabu cha watu waliofanya maajabu katika dunia hii,aliandikwa pia Mac Donald kama mwanasayansi pekee aliyeweza kuishi katika kisiwa hicho na kutoka akiwa hai huku akiwa na madini ambayo hayakuwahi kugundulika hapo awali.
********************
Malikia alipata fahamu baada ya siku tatu toka alipopewa adhabu na jini Kadash ambaye kwa sasa ndio amejitangaza kukiongoza kisiwa hicho kama malikia wa kwanza kutoka baharini.
Subbi alipewa taarifa zote juu ya kupinduliwa kwa uongozi wake. Alitamani kupinga kutokana na kujua kuwa utawala wa majini kamili utawanyonya na kuwanyanyasa.
“haiwezekani, lazima nikaongee na Kadash.” Aliongea Subbi na kunyanyuka huku akitweta na kuelekea katika chumba maalumu cha kuitia majini na kuandaa mazingira. Baada ya kuwasha udi na kumwagia marashi maeneo aliyokaa, alianza kuongea maneno aliyokua anayajua yeye mwenyewe na punde Jini kadash alifika maeneo hayo.
“unahitaji nini kutoka kwangu?” aliuliliza Kadash.
“nahitaji unirudishie nguvu zangu na niweze kutawala kisiwa hiki.” Aliongea Subbi.
“unafikiri naweza kukurudishia kirahisi hivyo?... kwanza shukuru kukuacha hai, maana nilitaka kukuua kabisa kwa jinsi ulivyoniudhi.” Alongea kadash.
“mimi sihitaji kutawaliwa na majini kamili katika kila kitu. Labda umchague malikia mwengine katika sisi na si mimi kama hunihitaji.” Aliongea Subbi.
“tatizo mnajifanya mnajua kuliko sisi. Sasa lazima tuwafundishe namna ya kutii amri za kijini.” Aliongea Kadsh na kumuangalia Subbi ambaye naye alikua amemkazia macho.
“mimi nipo tayari kufa lakini si kushuhudia utawala wenu wa mabavu na mateso yasiyovumilika.” Aliongea Subbi na kumuangalia kadash ambaye wakati huo alikua amekunja uso kwa hasira.
“unafahamu kuwa unaongea na malikia?... au bado hujalitambua hilo.?” Aliuliza Kadash huku akiwa amezidi kuikunja sura yake.
“mimi sikutambui kama malikia wa kisiwa hiki.. mimi nakutambua kama mmoja wa mmiliki tu na huna mamlaka ya kuigilia utawala wa kisiwa hiki.” Aliongea Subi na kumfanya Kadash acheke.
“unachekesha sana, sasa leo nitakujulisha kama mimi ndio mwenye mamlaka ya kufanya chochote kwako.” Aliongea Kadash na kuchukua kitu filani kama jiwe la madini ya dhahabu na kupuliza unga wake kwa Subbi. Hapo hapo Subbi alijisikia anavutwa hadi kuigia kwenye jiwe hilo la Jini Kadash.
“saasa utakaa humu maisha yako yote, pumbavu kabisa wewe.” Aliongea Kadash na kupotea katika kile chumba na lile jiwe.
Usiku wa siku hiyo alirudi na kupiga mbiu yake iliyowaamsha wakazi wote wa ksiwa hicho na kujipanga kulingana na matabaka yao.
“nimewaita ili niwaonyesha mfano hai kwa viumbe wasumbufu kama hawa.” Aliongea Kadash huku watu wote wakiwa makini kuona kitu ambacho malikia wao alikua anataka kuwaonyesha.
“huyu aliyekua malikia katika kasiwa hiki ameonyesha utovu wa nidhamu kwa kunikataa kuwa mimi ndio malikia wake wa sasa. Hivyo adahabu yake, ni kuishi katika jiwe hili maisha yake yote. Hii ni kwa wote wataokataa amri zangu na kujifanya wajuaji kama hawa. “ aliongea malikia na kukifanya lile jiwe liwe kama kioo na kulikuza kila mtu apate kumuona Subbi akiwa anataabika kwenye lile jiwe.
“nadhani mmemuona mwenzenu, sasa kila kiumbe ana chaguo la kufuata amri zangu au kiushi katika hili jiwe milele… maweza kutawnyika.” Aliongea Kadash na kuruka zake angani hiku akiwa amelichukua lile jiwe na kupaa nalo.
****************
Baada ya miaka 20 toka mwanasayansi Mac Donald apate umaarufu dinuani kote kutokana na kugundua vitu vya ajabu ikiwemo kuishi katika kisiwa cha wanawake na kufanikiwa kutoka hai peke yake katika kundi la watafiti tisa waliokwenda kisiwani humo.
Hatimaye aliaga dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Dunia ilitikisika kutokana na kifo cha mwanasayansi huyo ambaye hajawahi kutokea na ikatabiriwa kutotokea tena katika ulimwengu huu.
Imepita miaka mingi toka mwanasayansi huyo wa zamani kufariki dunia, hatimaye Dunia inapatwa na mshangao wa ajabu baada ya kutokea Mtanzania mmoja aliyekuja kuvunja Record ya mwanasayansi Mac Donald wa marekani. Tena yeye akiwa hana fani ya utafiti, bali ni mvuvi tu tena wa hali ya chini katika historia ya maisha yake.
Kijana huyo alitwaa umaarufu kwa kufika na kuishi katika kisiwa hicho huku akiwa na nafasi kubwa mpaka ya kugundua jina halisi la kisiwa hicho.
Kutokea kwa mtu huyo kunazua taswira za watu wengi kutoka mataifa mbali mbali kwenda kutengeneza historia katika kisiwa hicho. Lakinii wote walipotelea huko na ndugu zao waliwasahau.
Mtanzania huyo aliyepata madini aina kumi tofauti. Pia alifanya kitu cha ajabu pindi aliporudi tena kisiwani humo na kurudi na msichana wa kisiwa hicho na kudai kuwa alikua mke wake na wameshafunga ndoa huko huko kwenye kisiwa hicho cha maajabu.
Uzuri wa msichana huyo unawashangaza watu wote walifanikiwa kuona picha zake akiwa na mume wake huyo aliyekuja kuvuja rekodi ya mwansayansi aliyeonekana wa pekee kwa miaka mingi.
Vituo vikubwa kutoka sehemu mbali mbali dunia ni vilirusha live mahojiano kati yake na waandishi wa habari waliojazana kutoka sehemu mbali mbali duniani wakitaka kujua kuwa alifikaje na aliwezaje kurudi wakati watu wote kwa takribani miaka sabini sasa walipotea na hakuna aliyerudi hata kwa bahati mbaya.
Kwa takwimu ya watu waliopote katika kisiwa hicho ilikaribia milioni Thelathini kutoka mataifa yote duniani kwa kipindi chote cha miaka sabini iliyopita.
Sasa kwa Mtanzania huyu kwenda na kufanikiwa kurudi tena mara mbili, kulionyesha wazi kuwa alikua mtu wa kipekee na mwenye maajabu kama Mac Dunald ambaye wengi waliishia kusoma vitabu vyake ambavyo vinadumu mpaka hii leo na wanafunzi wote katika historia walikua wanamsoma Mac Donald.
“sikua peke yangu kama wengi wanavyojua, napenda kutoa pole kwa familia za marafiki zangu waliopoteza uhai katika kisiwa cha MALAIKA. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.” Aliongea kwa huzuni HIJA na kufanya watu wote waliokuwa mule ndani kwenye ukumbi wa kifahari uliopo mlimani city.
“sisi tulikua watano katika kundi letu. Na ni mimi peke yake ndio niliobahatika kupona. Ingawaje watu wengine tuliwakuta kule kule wakiwa wanahangaika jinsi ya kuwatafuta wanawake hao waliokuwa na ruhusa ya kuchukua mali kwa mashrti ya kuwaridhisha katika kufanya mapenzi.”
Aliongea Hija na kuwafanya watu wakae vizuri baada ya kusikia habari hiyo ya wanawake wanaotoa madini ya thamani kubwa kwa kazi ya kufanya vizuri katika kujamiiana nao.
Wengine waliguna na kuona ni kitu rahisi. Lakini kushindwa kwa wanaume wapatao milioni thelathinii kufanikiwa kufanya kazi hiyo kuliwafanya waone ni jinsi gani unatakiwa uwe shababi uingiapo mchezoni na wasichana hao waliokuwa na uzuri uliokithiri.
“samahani kwa kukukatisha, unataka kusema kuwa wanawake hao wana maajamu sana mpaka watu wanafeli mtihani mdogo wa kuwaridhisha kimapenzi?” aliuliza muandishi mmoja ambaye alinyoosha kidole na kuruhusiwa aongee. Swali hilo lilifanya minong`ono itokee kwa sekunde kadhaa kwa waandishi wa habari waliokusanyika hapo huku kila mmoja akionyesha kulisapoti swal hilo.
“swali zuri sana,… ninapoongelea wanawake ni tofauti sana na wanawake hawa wa duniani. Kwanza hamshangai kuwa wanaishi jinsia moja katika hicho kisiwa na hakuna mwanaume. Vipi wanazaliana na kuwa na rika kuanzia watoto mpaka vijana. Tofauti yao nyingine na sisi ni kwamba hawazeki. Narudi kwenye swali nililoulizwa, watu wanashidwa kuwaridhisha wasichana hao kutokana na muda wa kufanya mapenzi kwa viumbe hao. Hutumia masaa tisa kwa uchache mpaka kufika kileleni. Sasa unafikiri binaadamu wa kawaida unawezaje kumudu kukaa juu ya kifua cha msichana kwa masaa yote hao bila kupumzika?” aliongea Hija na kuwafanya waandishi wa habari wagune.