Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwanza nianze kutoa pongezi kwa msanii Alikiba kuimara wake kwenye game tangu arudi kufuta vumbi kiti chake. Secondly, Ifahamike kwamba mimi ni mtu mwenye mawazo huru, nina haki kupongeza...
4 Reactions
94 Replies
14K Views
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wa mitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi ya lugha chafu ndani ya wimbo huo. Akiongea leo na kituo maarufu cha redio...
4 Reactions
141 Replies
33K Views
Yes. A Sista..Aliitwa Rosetta Tharpe. She came before; Little Richard, Johnny Cash,Chuck Berry, Jerry Lee Lewis, Muddy Waters, Elvis Presley and the rest... In fact, wote walimpa credit zake , na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Siwezi kununua godoro wakati nakesha napiga disco kwenye kumbi.
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Hapo una kutana na wanamuziki kama hawa:- 1. VATA MOMBASSA JUJUMAN - (BAND LEADER - RYTHM GUITAR) 2. MBUMBIE MALANDA - (LEAD VOCAL) 3. KILOLA KITOKO KYANGANI - (VOCAL) 4. TONNERE MAZINZA -...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Msanii aliyeacha gumzo baada ya kupiga shoo Dar es salaam, karudi tena bongo na atapiga shoo Jijini Mwanza siku ya jmos, ikidhaminiwa na JEMBE NI JEMBE FM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mwenye wimbo wa Q chillah watu na maisha yao nitupie link au anipe msaada jinsi ya kuupata
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wa Instagram Naytrueboy akanusha kua BASATA haijaufungia wimbo wa shika adabu yako walio ufungia ni walee walio chanwa ndani ya wimbo huo,,, ShikaAdabuYako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibu mkuu, itueleze nyimbo au movie ambazo zilikugusa au zinakugusa zikiambatana na matukio ambayo huwezi yasahau. Yaani unazigawanya kama ifuatavyo: Juzi=ya zamani kabisa kwa upande wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niona bora ku-share hizi hot tunes, maana hii mix ni balaa, humu ndani kuna Jah Cure, Zamunda, Chevaughn, JahMelia, Wayne Wonder, Lutah Fyah na wengineo karibu uburudike.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni wa afrika wachache sana wanaweza kufanya kitu kama hiki
0 Reactions
1 Replies
973 Views
niambie unakumbuka wapi na nini?Enjoy
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliokubali ushawishi mkubwa wa Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu juu ya unyonyaji na negatives nyingine nyingi zinazofanywa na Redio hii dhidi ya wasanii. Tangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
so far wasanii wengi sana wa hapa tz wanaimba songs zisizo na maana, na si hilo tu bali hata majisifu yasiyo na maana, FA kato wimbo wa Ameen na Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,natamani tuinue na kukuza mziki wetu. Naomba tulitumie jukwaa hili kuwa impress wasanii wetu. Hapa tutafanya nini na nini? 1.Tutajadili kila wimbo mpya utakaokuwa ukitolewa na...
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Kuna wasanii ambao wanajua muziki sana hapa Africa to the extent, Sema media imetawaliwa na watu wa aina fulani hivi huwa hawasikiki. Ukiachana na Legends Kina Makeba, Yossou N' Dour, Fela Kuti...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Habari wana Jf, ni siku nyingine tena ambayo tumepata kibali mbele za mwenyezi Mungu kuishi tena, siii kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu kufika hapa tulipo bali ni kwa NEEMA tuu, leo naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Msanii bora wa RnB Tanzania ambaye nyota yake inazidi kung'aa siku hadi siku amekuja na kiba kipya kinaitwa Love Potion. Kulingana na ukurasa wake wa Instagram Belle9...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeona one episode ya hii series.. Cuba Gooding Jr as O J Simpson John Travolta as Robert Shapiro David Schwimmer as Robert Kardashian Naona hii series itakuwa big hit kuna mtu kashaitazama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii video ya Yemi Alade ya wimbo wake wa kiswahili ‘Na Gode’ .Video inafanywa na cinematographer Paul Gambit.
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Back
Top Bottom