Picha: Mapokezi ya Lulu Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
39f1f__LULU332.jpg

Udaku News

Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) akitokea Nigeria.

a7a7a__lulu5456.jpg

a7a7a__LULU6533.jpg
 
Sasa kama wamepokea tuzo wasanii wawili! Mbona kapokelewa mmoja?? Au ndo zile zile Mademu bongo movie wanatoboa kuliko wanaume
 
Hao wataalam woooooote unaotaka watuletee hizo tuzo za Physic,Chemistry uchumi na mengineyo hawashughuliki na hizo fani zao wamekimbilia siasa na wao wapige hela kwa kubwabwaja........Acha wasanii watumie fani zao kutuletea hizo tuzo....
 
Kinachonifurahusha ni kuwa....
1. Maprofesa na wasomi wooooteeeeee.... wanapata burudani toka kwa wasiofika hata form four...
2. Angalia wanamuziki wengi unaokwenda kuangalia show zao... wengi LY
3. Angalia wanamusiki wengi wanaojizolea sifa, kama wamesoma basi si fani ya muziki, bali mambo yasiyohusiana na kinachowaingizia hela
4. Angalia wote kwenye fani ya kuigiza, hata nje, wengi LY, na kama si LY, basi for four walimaliza kwa kutaga

UKITAKA KUJUA UMUHIMU WA MAKALIO, KALIA KICHWA.....
 
Tunataka tupokee Nobel laureate kwenye Physic, Chemisty, Uchumi, medicine, Abel laureates na siyo hii karaha ya Bongo muvi, tafadhali Raisi Magufuli nilitegemea haya mambo yalienda na Awamu ya nne, haiwezekani tusimamishwe masaa mawili eti msanii wa Bongo muvi anapita huu ni Upuuzi!
Nategemea mambo ya Kanumba na mazishi yake yalienda na Awamu ya nne!


Tafadhali hii haiendani kabisa na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu!
Unafiki full. Kama Wa Makamba. Juzi tu walikuwepo ikulu kutuchongea wauza movie za nje. Umesahau walimsaidia rais wako na ccm!? Au ndio condom wamegeuka!?
 
Dar ukiwa na ushawishi tu wakujaza watu,unaweza kuwakusanya waume kwa wanawake,watoto kwa wazee kujakukushangilia sometimes hata kwamambo ya sio kuwa na maana,Dar watu wengi hawana kazi za kufanya
 
Back
Top Bottom