Movie Kali za kibongo..

Movie Kali za kibongo..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,457
1. Mikono salama- hii imeigizwa na Irene uwoya,jokate,jb ,Adam kuambiana na wengine wengi, hii movie ni noma sana.
2.kigodoro- hii imeigizwa na wasanii kibao, kama riyama,hemedy,diana,mama Abdul,kajala na wengine wengi.
3.Gumzo- Ni movie ya comedy, hii nayo si ya kukosa.
4.Dr. max-ni hatari
5.Danija- balaa lingine kutoka kwa jb
6. Bado natafuta- Kali mno
7.kichupa- ni Nouma
8.majuto- next habari
9.
 
1.ANKO JAY JAY
2.DEVIL KINGDOM
3.MAGIC HOUSE
4.DAR TO LAGOS
5.SALADINI
6.KIGODORO
 
Sijawahi kuona movie ya kibongo. Zinauzwa wapi. Huwa kuna Movie ?? Nijulisheni
 
1. Mikono salama- hii imeigizwa na Irene uwoya,jokate,jb ,Adam kuambiana na wengine wengi, hii movie ni noma sana.
2.kigodoro- hii imeigizwa na wasanii kibao, kama riyama,hemedy,diana,mama Abdul,kajala na wengine wengi.
3.Gumzo- Ni movie ya comedy, hii nayo si ya kukosa.
4.Dr. max-ni hatari
5.Danija- balaa lingine kutoka kwa jb
6. Bado natafuta- Kali mno
7.kichupa- ni Nouma
8.majuto- next habari
9.

Za mahousegirl hizo na watu wa uswahilini hizo muvi
 
Teh,teh,teh,vip upo Somalia kiongozi,nackia huko ni muvi za Al-shababy
Hawawezi, hawajawahi kupanuka ki fikra. Issue zao zote zinahusu mapenzi, hawana stori nyingine ya kufanyia movie kama sio mapenzi. Kukaa kaa uchi kwao ndiyo movie "wapo kazini ,", hawaoneshi uhusika wa tukio wanaigiza maisha ambayo watanzania hawana. ambao ndiyo wateja wao, majumba mazuri maisha ya kifahari. Mpaka wanajibadirisha rangi yao halisi. Kwa mtazamo huo wala huwezi kuvutiwa kuangalia upuuzi wao.
(Jambazi anaingia ndani na silaha anawacamia alafu eti anavua viatu )
 
Kwakweli uwezo wao wa kufikiria ni mdogo ndio maana hata soko la ndani linawashinda. Wana igiza vitu ambavyo watu wanavifanya kila siku. Yaani hawajui kama watu tunataka kuona vitu ambavyo hatuvijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom