Huyu bwana mdogo namkubali sana...tangu alipotoka tu na kile kitu 'sumu ya teja'...
Sikiliza hii tena....hamna umagharibi hapo..big up Maembe.
Mtembelee hapa na ununue kazi zake zaidi...
Wadau mnazikumbuka hadithi hizi enzi hizo zikituelimisha na pia kutupa burudani
1.MAENDELEO TILONDA
2.MUWA ULIOZAMISHA MELI
3.PETE YA MTEMI NDEMANGA
4.NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE
5.SIZITAKI...
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo...
Kwa wale wenye king'amuzi cha azam ebu chekini hii picha ya mwaka 2009 ni nzuri sana ni kati ya movie nazorudia ya bwana morgan freeman na antonio.
Jamaa walikuwa wezi professional
'Amevaa kiminii, amevaa bodi sutuu oooh... amevaa suluali ya jeans sign ya versace, kapewa lift kwenye gari la kifahari, kalala kwenye hotel ya kifahari... mutoto kafikiria amefika Paris eeh...
Kwa muda mrefu sana mvua ilikuwa haijanyesha katika wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani mazao ya watu wengi sana yalikuwa yamekufa mashambani, kulikuwa na dalili zote za kutokea kwa balaa la njaa...
Leo usiku huu ben paul yupo kwenye friday night live akitambulisha video yake mpya. Kwanza kaanza kwa kuomba msamaha kwa ile interview ya kwanza aliyoifanya na mtangazaji wa eatv moja ya jambo...
Kuna Project fulani inaendeshwa ya kuhifadhi nyimbo na midundo ya asili ya Africa ili isipotee. Nmeipenda sana. Hii project nadhani inaitwa The Tanzania Heritage project. Nawashauri hawa jamaa...
Habarini wana jf, natumai niwazima.
Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke...
Tangu nianze kuwa mfuatiliaji wa muvi nzuri nimejikuta napendelea sana kutazama muvi za hollywood zenye ladha ya matukio ya wild west (muvi zinatoa simulizi zake kutokana na historia ya marekani...
Salaam wakuu
Poleni namajukum yakutwa
Naimani sote tuwazima nandivyo
Niombavyo
Naimani humu ndani kuna wapenzi nawadau wasoka
Wengi sanaa naomba kwa eshima na taadhima niweze kuleta ombi...
MIKE MARTIN 1958-1996 (1)
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
RIWAYA.............ANGAMIZO
MWANDISHI.....HALFANI A. SUDY
SIMU..................0757 633010
SEHEMU YA KWANZA
...
Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya
Arusha nchini Tanzania.
Siku iliyoanza...
Habari za Boxing day wadau wa Korean Drama
Kwa muda mrefu nmekuwa mfatiliaji wa series.
Lakini sijapata kuona series nzuri kama Iris.
Kwa mantiki hiyo naomba kama unaifahamu series yenye Action...
Wimbo wako pendwa wa Kidogo by diamond platnumz umeingia katika list ya nyimbo 10 bora kabisa Africa kupitia mtandao mkubwa wa nyimbo kubwa Africa zinazofanya vizuri kwa sasa wa ROGMusicAfrica.
Wadau hapa nlipo naisoma namba tangia pombe aingie madarakani kavuruga kabisa mipango mbalimbali nliyojiwekea
Naombeni mwenye nyimbo ya CCM "waisome namba" na "CCM ni Ile Ile " anitumie hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.