orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 757
- 773
Tangu nianze kuwa mfuatiliaji wa muvi nzuri nimejikuta napendelea sana kutazama muvi za hollywood zenye ladha ya matukio ya wild west (muvi zinatoa simulizi zake kutokana na historia ya marekani katika kipindi cha nusu ya pili ya karne ya 19. Kipindi hicho kilishamiriwa na matukio ya uhalifu na conquest zilizokuwa zikifanywa na cowboys waliokuwa wakitumia magobore na pistols huku wakitumia farasi kama usafiri wao).
Cowboys and gunslingers typically wear Stetson hats, bandannas, spurs, cowboy boots and buckskins. Other characters include Native Americans, bandits, lawmen, bounty hunters, outlaws, mounted cavalry, settlers and townsfolk.
Basi mie mwenzenu nikishaiona tu muvi ina history za wildwest ikihusisha wale gunslingers, bounty hunters, townfolks, sherrifs, stagecoaching and the likes huwa nahakikisha hiyo muvi naidownload the best quality na nina uwezo wa kuicheki hata mara tatu kwa wiki (nikiwa na free time of course). Na zifuatazo ni baadhi ya hizo muvi zenye vionjo vya "the wild west".
Wapenzi wa muvi karibuni tushee