East africa tv/ radio wanalea vizuri wasanii.

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Leo usiku huu ben paul yupo kwenye friday night live akitambulisha video yake mpya. Kwanza kaanza kwa kuomba msamaha kwa ile interview ya kwanza aliyoifanya na mtangazaji wa eatv moja ya jambo zuri la kiuungwana walizinguana sana hasa ben paul alipoulizwa mambo ya familia yake hakupenda kuulizwa na kumkata mkwara mkali mtangazaji.

Kwa kitendo kile angekuwa amakwaruzana na tv au radio zingine asingepata hata nafasi ya kupata interview nawapongeza sana eatv kwa kuishi vizur na wasanii hasa pale wanapokuwa wamekengeuka ni kituo kinachoonesha ukomavu wa kumudu mambo mbalimbali.
 
Back
Top Bottom