Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Huu wimbo na video yake naona ni vitu viwili tofauti kabsa na sijui kwanini kaamua kufanya video ya hivi 





Sijawahi kuona wimbo wenye lengo zuri, halafu ukawa na video mbaya na chafu inayo promote upuuzi kama hii. +Kama kweli ndio video yake lakin)
Yaani nimekereka mpaka basi. Jamaa kaharibu maana ya wimbo na ana distract msg
Video imenikera sana, kaharibu ujumbe wote huyu chalii, cjui ali ifanya akiwa kavuta bangi!!!!Mimi mwenyewe nimekaa nikajiuliza mbona wimbo unaongelea mambo mengine harafu video vitu vingine.
BASATA mko wapi![]()
Video imenikera sana, kaharibu ujumbe wote huyu chalii, cjui ali ifanya akiwa kavuta bangi!!!!
Aaah!!Ndo tunavyotaka watanzania
Jamaa anaakili sana huyu, lengo lake kubwa ni audio ipenye na alifahamu kwa wabongo tuliowengi tutareact kwenye video na video itafungiwa lakini audio itauza. Safi sana tutaelewa wachache sana.
Maneno yako kama yana ukweli ila sidhani kama ndicho alichokua anakiwaza baghdad kipindi anatengeneza hii chupa,letz say ame-switch kwa wanachokitaka mashabiki!.ila sio kuifanya video ifungiwe.Jamaa anaakili sana huyu, lengo lake kubwa ni audio ipenye na alifahamu kwa wabongo tuliowengi tutareact kwenye video na video itafungiwa lakini audio itauza. Safi sana tutaelewa wachache sana.
Angekuwa Diamond sawa ila hawaa hapana, acaheni hizo,Sijawahi kuona wimbo wenye lengo zuri, halafu ukawa na video mbaya na chafu inayo promote upuuzi kama hii. +Kama kweli ndio video yake lakin)
Yaani nimekereka mpaka basi. Jamaa kaharibu maana ya wimbo na ana distract msg