Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

kazi ipi ambayo wewe kwa mwaka utatumia 12000000+ hujaenda hongkong, hujala hujavaa kwa kazi ipi. Mkonda+sirro tuonyeshe kazi yake
0 Reactions
7 Replies
976 Views
Many years ago, I knew the members of a young professional string quartet for most of the 15 years of its existence. After one of its final concerts, I was chatting with a member and he asked if I...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Kind of nice holiday music but good for any time. What are your favorite harp sonatas? I'm not well versed in them but here is one I found: Tags: Free Bollywood Ringtones Free Download For All...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Yanga tunahitaji ushindi
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Yanga leo imesafiri kwenda Comoros kucheza na ngaya fc
0 Reactions
0 Replies
599 Views
habari wakuu,hii kwa yule ambaye yupo serious/dreams za kuwa na RECORDING studio au MULTIMEDIA(mobile studio), tunaweza shirikiana tufanye kitu kwasababu ninauzoefu na shughuli hizo(recording &...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Miaka ya 90's Yondo Sister alitoa albamu yake iliyofanya vizuri sana hapa nchini. Ila napenda kujua yule rapper aliyekuwa anakamua baada ya Yondo kumaliza kuimba anaitwa nani. Mfano kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Barcelona imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya kombe la mfalme au copa De rey nchini Hispania kufuatia sare ya kufungana goli 1-1 na Atletico Madridi. Goli la Barcelona...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Habarini Wadau, Katika kipindi cha comedy ya FUTUHI kinachorushwa na Star TV, ukimuondoa Brother K yule wa mashati Oversize labda na yule Mjaluo, wengine wanaboa sanaa Nafikiri wana juhudi sana...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Geti na Ukuta wa Chuma Ni asubuh nyingine kama kawaida Lusajo anaamka na kujinyoosha tayari kuanza kujiandaa kuelekea kazini, anakumbuka kuwa jana alisahau kununua mkate. Amejenga mazoea ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Video ya mwanadada akisasambuka vilivyo na ngoma ya Diamond platnumz - mdogo mdogo. Hebu itizame mtu wangu.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nashangaa wakati huu timu ya taifa vijana imefuzu michuano ya afcon kila mtu yupo kimya na hakuna anayeona mafanikio ya Malinzi. Kwa hiki kilichofanyika isitoshe kuona Jamal si mtu sahihi katika...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Mara moja kwa wiki sio mbaya lakini wakuu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kajiandae' wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Walioleta neno mubashara, ni waharibifu wa lugha wanaoiga wakongo, ndio hawa wanaosema Muke ya mimi. Ukitamka neno hilo mbele yangu nakunasa kibao....
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi hasa wapenzi wa kipindi cha Bolingo time, muda huu naona Zuberi wa RFA yuko hewani anaweka mipini ya JB mpiana. Ameanza na 48Heures Gecoco,sasa kaweka Feux d' La Amour. Swali je huyu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashabiki wa soka nchini wamevitaka vilabu kuwafanyia vipimo vya afya awachezaji wao mara kwa mara.Vile vile wamewasihi wachezaji nao wawe na tabia ya kuangalia afya zao mara kwa mara. Hivi...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Jamaaaani eeeh nimetafuta sana kwa zaidi ya miezi 6 sasa hapa ma game sijapata.. Nisaidienieni tafadhali kwa mwenye nalo,mwenye link ya kudownload.... Hata kwa kununua pia nipo tayari... Maana...
0 Reactions
4 Replies
891 Views
Back
Top Bottom