Changamoto kwa Media zetu: Nmependa hawa wasanii wa Tanzania, Warema Chacha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,721
2,000
Kuna Project fulani inaendeshwa ya kuhifadhi nyimbo na midundo ya asili ya Africa ili isipotee. Nmeipenda sana. Hii project nadhani inaitwa The Tanzania Heritage project. Nawashauri hawa jamaa watuwekee hizi nyimbo Youtube sio wanazificha tu.Nmefurahi kuwaona Nafasi art space.

Wameweza kuchukua nyimbo za Warema Chacha, nmevutiwa sana na Chacha. Kwanini Vituo vyetu vya Radio na TV hawawahoji hawa watu ili tuwafahamu? Nashangaa wanang'ang'ania wakina Ja rule na 50 Cent wakati tuna wasanii wetu. Hii ni changamoto kwao

Sikiliza hii midundo hapa
Mixing traditional sounds with modern vibes in Tanzania

Find out how the African country is innovating its music scene by fusing its rich musical heritage with more modern genres.

Source: CNN
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom