Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau hapa nlipo naisoma namba tangia pombe aingie madarakani kavuruga kabisa mipango mbalimbali nliyojiwekea
Naombeni mwenye nyimbo ya CCM "waisome namba" na "CCM ni Ile Ile " anitumie hapa
Naombeni mwenye nyimbo ya CCM "waisome namba" na "CCM ni Ile Ile " anitumie hapa