Rap hii ya Allain Mulumba Kashama niliipenda sana!

Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,381
1,073
'Amevaa kiminii, amevaa bodi sutuu oooh... amevaa suluali ya jeans sign ya versace, kapewa lift kwenye gari la kifahari, kalala kwenye hotel ya kifahari... mutoto kafikiria amefika Paris eeh...
 
Hapo nyimbo 'Valentine'ilikuwa nzuri sana sasa kuna nyingine 'supu ya kongoro'utunzi wake Alain Mulumba pia mzuri sana Nilimsikia Nikiwa Mdogo lakini Nilipokuja town akawa rafiki yangu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom