Oficial Video: Diamond Platnumz ft Ne-Yo – Marry You

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo. Tizama Video hiyo kisha uniambie Umelionaje Bomba(Ha ha haa).
 
Mm ni shabiki wa kiba japo namkubali pia diamond,Ila nmependa video sababu haina madancer tuliowazoea,maana ilikua inaboa kila video lazma akina iyobo wakatike,Ila good video,neyo anaimba sana aisee... Bravo mond,,,bravo director ,bravo neyo... Imekaa poa japo audio iliboa kdgo
 
:D:D Umelionaje Bomba ??
 
Idea nzuri ya video na legend ni legend tu Neyo kamkalisha mfalme Mond sawaaaa yote kwa yote Tandale boy anazidi kutusua.
 
Simba kafanya vyema sana...natoa wito kwa majirani kutoa pongezi hata kama nafsi inauma...ndo uanaume huo
 
Sijawa imperesed huh..

Sijaona ule udiomond katika vijimisemo na swaga zake, imepoaa.....

Neyo mwenyew kapoaaa kichizi humu zile vocal na swagaa zake zimekuwa chini sana..
 
Wadau mwenye video ya wimbo wa Diamond ft Neyo~Marry u anitumie au auweke hapa nimetafuta U tube sijaupata
 
Meanwhile mzee wa “yoooh” hataki collabo na wasanii wadogo kama neyo.
 
Back
Top Bottom