Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Fanyeni kuisikia hii ngoma zilla kaumiza sana ====================================
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwana Mama Connie Smith alipatwa na Mkasa wa Kuachwa na Mpenzi wake aliyeitwa Jimmy na aliamua kuimba wimbo kwa kusikitikia machungu yake... Wimbo uliitwa Tiny blue transistor radio hizo Radio za...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mnaikumbuka hii mistari katika wimbo wa Roma enzi hizoooo " Bandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuli,pesa za ujenzi wa shule kala na mkewe Headmistress,thamani ya mabango ya kampeni peleka watoto...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale wazee wa kupakua movies na series za kukesha mida ya wanga sasa wakati wa kupumzika umefika "Vodacom kazi ni kwako" [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ambwene Mwasongwe (mwamlenga) huyu jamaa anajua sana hakika amebarikiwa mno, kipaji chake anakitendea haki. Nyimbo zake zote zinagusa sana moyoni na rohoni, zinaelimisha. 1-Misuli ya imani...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
www.reverbnation.com/limbe
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwenye ile orodha ya mashabiki wa damu wa Mwanahiphop Fid Q inabidi umuongeze na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambaye January 20 alitumia time yake kupost kipande cha video ya Fid Q...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Pamoja na changamoto za maisha ya sasa ya mpito, ninapenda ku share orodha ya nyimbo ambazo ziliwahi kuvuma na kusikilizwa pia kupendwa na takribani kila mwenye kusikia hapa TZ. Hii ni kwa sisi wa...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa sie tuliokuwepo kipindi hicho, mtakubaliana na mimi kwamba hii collabo ilikuwa moto wa kuotea mbali, na mpaka leo ukiisikiliza bado ina ladha murua. I wonder huyu jamaa yuko wapi siku hizi....
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Hawa ni marapa 5 anaowakubali Madee. Je kati yao nani ni namba 1 wako? 1. Fid Q 2. Mwana Fa 3. Roma Mkatoliki 4. Mr. Blue 5. King Zilla
0 Reactions
1 Replies
988 Views
PLOT Movie inaanza Dominic Torreto(Vin Diesel) na dame wake, Letty(Michelle Rodriguez) wako somewhere kwenye nyumba yao ya ufukweni, Letty ni mjamzito, so wanajadili kuishi responsibly, majina ya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu kama kuna mtu anaijua movie flani hivi ya kivampire inayohusu mavampire wanaokunywa damu za binadamu na wengine wanokunywa damu za wanyama wa porini ambao waliingia katika bifu zito kisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali itaanza kutoza kodi mkaa na fedha zitokanazo na kodi hiyo zitaelekezwa kwenye utunzaji wa mazingira. Source: dw Radio
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapatanzania ukisikia Clouds utajua ni brand yeye ubora na ufanisi kutokana na redio yao, kitu kikubwa chakusikitisha wameanzisha television yao ambayo wadau wengi walitegemea itakua moto wa...
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari wandugu,Leo nilikuwa katika safari yangu ya kuja job mida ya saa 1 asbh,nipo kwenye gari nikasiki wanatangaza habari mbalimbali za ulimwengu kama masuala ya uchaguzi Kule Gambia si nikatega...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
"Like Sand In Hour Glass So Are the Days of our life" Waungwana kuna anaeikumbuka hii tamthilia nimeikumbuka sana hasa character wake like Jennefer Stephen demera Jack Naomi....etc Sizani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima yenu wana JF Kama kuna mwenye historia ya huyu mwanamuziki anayeitwa Ntombi Mahrumbuni naomba anidadavulie kidogo maana leo nilikuwa nasikiliza radio moja hapa moshi nikasikia wanapiga...
2 Reactions
2 Replies
9K Views
Kama hapo juu naombeni mnisaidie kupata movies zilizotafsiriwa kiswahili
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom